Kondomu nzuri za kunogesha tendo

Kondomu nzuri za kunogesha tendo

Rough Rider = kwa ajili ya kuongeza msuguano, ina vijipele (Studied) Kwa nje, inampa Raha zaidi mwanamke kuliko mwanaume

Bare Back = hii ina ngozi nyembamba sana kiasi kwamba ikitumiwa
Inakuwa kama haujavaa kitu (bahati mbaya hazionekani Madukani) hii huwapa raha pande zote mbili, yaani mwanamke na mwanaume.

Wet N' Wild = hii ni Kondom kwa ajilinya wanawake wanaokauka haraka, wanawake ambao hawana uwezo wa kulowa vizuri wakati maandalizi, imepakwa extra lubricant.

Lakini zote hizi upate origin kutoka kwenye viwanda vyake halisi, baadhi yake huwa nahisi huenda ubora wake umekuwa Compromised.
Sawa mister mandom
 
Jaribu hizi mkuu
IMG-20180708-WA0013.jpg
 
Na sisi wenye mishedede ya maana tutumie zipi! Maana hizi za kawaida zinakubana mpaka unaona kero!
 
KAMASUTRA nazo ni nzuri sana kwanza ni nyembamba halafu ribbed yani zina mistari kama bolt. So ukiivaa mkuyenge unakuwa kama bonge la bolt.
 
Back
Top Bottom