Rough Rider = kwa ajili ya kuongeza msuguano, ina vijipele (Studied) Kwa nje, inampa Raha zaidi mwanamke kuliko mwanaume
Bare Back = hii ina ngozi nyembamba sana kiasi kwamba ikitumiwa
Inakuwa kama haujavaa kitu (bahati mbaya hazionekani Madukani) hii huwapa raha pande zote mbili, yaani mwanamke na mwanaume.
Wet N' Wild = hii ni Kondom kwa ajilinya wanawake wanaokauka haraka, wanawake ambao hawana uwezo wa kulowa vizuri wakati maandalizi, imepakwa extra lubricant.
Lakini zote hizi upate origin kutoka kwenye viwanda vyake halisi, baadhi yake huwa nahisi huenda ubora wake umekuwa Compromised.