Kondomu nzuri za kunogesha tendo

Kondomu nzuri za kunogesha tendo

Si wazee wa kavu ñgoja tupate maujuzi hapa sema huwez kula PiPI NA MAGANDA
 
Imesimama kiasi!! Nadhani kuliko aina yoyote ya condom. Ila ni best, just like wearing nothing.
Mkuu sijui bei, nna miaka 6 tangu nioe, nilishasahau kabisa mambo ya ndom!
Sasa miaka 6 tangu uoe… kuna utata mahala
 
Waungwana hii bidhaa mshawahi tumia? Nipeni uzoefu wenu nayo
 

Attachments

  • IMG_20230527_131105_595.jpg
    IMG_20230527_131105_595.jpg
    3.1 MB · Views: 27
Back
Top Bottom