Kondomu for dharura

Kondomu for dharura

Hosee Miguel

Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
59
Reaction score
38
Unasafiri kikazi, wakati unapaki nguo na makorokoro mengine, Mkeo anakupa box la kondomu "Honey chukua hizi in case ikitokea dharura". Unalipokea kwa tabasamu zito na kusema "Asante Mke wangu kwa kunijali". Wakati unaingia kwenye gari tayari kwa safari, Mkeo anakukimbilia "Honey naomba PAKITI moja huwezi jua na Mimi naweza kupata Dharura pia".

Mwanawane UTAMPA???????????????????????
 
aaah mwanawane hapo hapana simpi ng'o! na nikirudi tu.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom