Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

Nyie ni halali Rayvan alie jamani sio 🍆🍆 aliyonayo hamonaiz 😂😂 wcb wakijichungulia kwenye zip zao wanalia kabisa 😂😂😂
Tunaomba harmo ajengewe sanam liwekwe pale posta lile la posta litolewe litupweee
 
Nyie ni halali Rayvan alie jamani sio aliyonayo hamonaiz wcb wakijichungulia kwenye zip zao wanalia kabisa
Tunaomba harmo ajengewe sanam liwekwe pale posta lile la posta litolewe litupweee
naunga mkono hojaaa,
Mmakonde kajaaliwa na nasikia wanakata mauno hao balaaa, acha tu Paula alie wivu kwa mama ake maana alikua anajua kabisa mama anavyofaidi utamuu.
 
Nshaupataaa!!!ahsante binamuuu!!lohh!mashallah kijana kajaaliwa kiukweli wamempa promo kuuubwaa!yaani balaa
Jomba comments zako zinaonesha umekariri maisha ya wcb ya kiki bila kuelewa ni wakati gani na matukio gani wanatumia kama kiki, kifupi we hizi kiki umezijulia kwa hao hao WCB ila hukuelewa somo. Wale sio viazi waachie hiyo video alafu wasijue kwamba harmonize atapata umaarufu kipindi hiki, wanacholenga ni long term effect yani hizo video na hii kashfa zitaendelea tu kumuandama harmonize leo, kesho na kesho kutwa. Hio sio kiki ambayo yeye mwenye harmonize anaitaka ingawa ametoa wimbo kuzuga kwamba anautumia hii scandal kama kiki ya muziki. Unafikiri anapenda ulimwengu kuona na kujadili maumbile yake? Unafikiri wcb na harmonize hawajui huu umaarufu wa muda una gharama kubwa?
 
Jomba comments zako zinaonesha umekariri maisha ya wcb ya kiki bila kuelewa ni wakati gani na matukio gani wanatumia kama kiki, kifupi we hizi kiki umezijulia kwa hao hao WCB ila hukuelewa somo. Wale sio viazi waachie hiyo video alafu wasijue kwamba harmonize atapata umaarufu kipindi hiki, wanacholenga ni long term effect yani hizo video na hii kashfa zitaendelea tu kumuandama harmonize leo, kesho na kesho kutwa. Hio sio kiki ambayo yeye mwenye harmonize anaitaka ingawa ametoa wimbo kuzuga kwamba anautumia hii scandal kama kiki ya muziki.
Hakuna cha long term effect wala shangazi yake short term effect kubalini mmepigwa bao atii, mlijua mtamdhalilisha imekua kinyume sasa hivi wanawake wanawashurutisha waume zao waongeze mshedede kama wa Harmonize achilia mbali wale wanaopiga hodi DM kwa Konde hehehe poleni team WACHAFU, mwambieni na huyo mfuga tambi kichwan aoneshe kindululu chake tulinganishe,
 
Kila jambo linataratibu zake msanii Harmonize asipobadilika anaelekea kujiharibia ktk tasnia yake ya muziki.

Wito kwa watu wake wakaribu wamshauri jinsi gani ya kutumia mitandao ya kijamii na jinsi gani ya kutengeneza kiki sababu kila uchwao anelekea kudrop katika fani, Harmo wa WCB sio huyu wa sasa kashfa nyingi,kazi hazina ubora ,michambo na mabifu na watu kila kukicha.

Tahadhari kwa sisi mashabiki wake tunaona mwisho mbaya kwake anatakiwa apate washauri na wasimamizi watakaomshauri na kumuelekeza nini afanye nini aache kulinda weledi wa tasnia yake.

Watanzania hawakawii kumchoka mtu mifano hai ipo mingi kwa wasanii wenzake, anatakiwa akumbuke alipotoka na aangalie alipo na anapokwenda.

Kikawaida katika nchi yenye kulinda tamaduni na ustaarabu ktk jamii kitendo cha kuonesha picha za utupu mitandaon ni cha fedhea kwa msanii mkubwa Kama yeye.

Kitendo cha kula kuku na mayai yake ni kudhalilisha wanawake na hakivumiliki, kitendo cha kutukana watangazaji na kuwapa vitisho kama alivyomfanyia Maimartha wa Jesse ni ulimbukeni na upungufu wamaarifa, kitendo cha kutengeneza lebo ya kusimamia wasanii halafu wasanii hao hawatoi nyimbo wala hawasikiki na wanavipaji ni kuua vipaji vya wasanii wetu.

Mimi shabiki namba moja wa Harmonize na nimechukizwa na mienendo yake, naomba abadilike bado tunampenda kushindana na WCB kutamuharibia wale watu hawawezekaniki wana nguvu na vipaji na washapiga hatua kubwa Sana .
 
Back
Top Bottom