Konda Amchapa Bao Mkewe Usingizini

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
Konda wa daladala akiwa ndotoni........"dereve toa..to..toa" huku akigonga kwa nguvu kwenye mlango............kwa kuwa alikua usingizini ule mlango ukageuka mkewe...........
 
konda wa daladala akiwa ndotoni........"dereve toa..to..toa" huku akigonga kwa nguvu kwenye mlango............kwa kuwa alikua usingizini ule mlango ukageuka mkewe...........
haichekeshi!!!!!
 
Konda wa daladala akiwa ndotoni........"dereve toa..to..toa" huku akigonga kwa nguvu kwenye mlango............kwa kuwa alikua usingizini ule mlango ukageuka mkewe...........
Stori hii haina kitu kinachoitwa 'punchline' kwa hiyo haina nguvu ya kuchekesha! Pengine kuna maneno fulani uliyaacha.
 
By Bhokem:
Happy New Year.!!!
Mwe! mbona unamkatisha
mwenzio hamu? Inachekesha
mwayego lete ingine tena
Happy new Year Bhokem!
angeiweka vizuri
ingechekesha...but haikukaa
vizuri
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom