Kompyuta yangu inanisumbua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kompyuta yangu inanisumbua

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mazingira, Jun 17, 2010.

 1. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wakuu ninapokuwa nimeitumia Laptop yangu nikii-command kuzima inachukua hata nusu saa imeonyesha kile ki-alama cha kuwa iko busy, mpaka nalazimika kuizima kwa kui-buti. Je tatizo ni nini na nawezaje kulitatua?
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  ni vizuri kuwa specific tunapokuwa tunaelezea tatizo.PROBLEM Definition isipokuwa ya kueleweka utapata majibu ya kubahatisha.

  Mfano OS ya laptop yako ni nini na ni version gani? Unaweza kupewa jibu la OS ya Ubuntu version 10 kumbe wewe unatumia Windows Xp au umesitall Windows Server 2000

  Tukija kwenye isseues yako

  Umefanya mabadaliko ya kuinstall hardware or software gani kabla ya hilo tatizo.?

  Ushauri jaribu kutafuta program za kufanya registry cleaner kama unatumia windows
   
 3. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kwa kweli sijaelewa tatizo lako lakini naamini jibu lipo wazi...Hiyo alama ya kuwa iko buys inaonekana wapi?ukiwa unazima unazimaje?Kuna kubonyeza kwenye power kwa lazima na kuna kutumia taratibu zilizo weka kama start then shut down(I hope Hapa ndio unapata tatizo sasa hapa unaona nini?The tukupe solution ya jumla.
   
 4. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Registry Cleaner kama unaelewa jinsi ya kuitumia, itaweza kutatua hiyo issue, yaelekea kuna background programs nyingi zipo on. Utaweza kuziondoa program ambazo hazihitajiki na vile kwa kutumia hiyo Registry Cleaner ( CCleaner available on free hapa: Download CCleaner 2.32.1165 - FileHippo.com
  Utaweza pia kuondoa takataka ( broken dll. and the likes ) .....kazi kwako.
   
 5. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Nunua mpya muungwana au piga chini OS
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  press the power off button and keep it pressed until it powers off. It won't take more than 10 or 12 seconds.

  OR Try this
  What do I do if my laptop won't turn on/off?  If your laptop won't turn off, then try pressing and holding the power button for about ten seconds until the laptop turns off, and then turn the laptop on again.
  You can also try unplugging the laptop from the AC adapter and removing the battery until it turns off, and then insert the battery and plug the adapter into the laptop again.
  If you have having problems turning your laptop on, then verify that the battery light is lit when the laptop is plugged in. If it is not, then try using a different plug or adapter.
   
 7. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu OS yangu ni Windows XP na sijawahi kubadilisha hardware yoyote
   
 8. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Buswelu hiyo alama ya kuwa busy inaonekana wakati nimeikomandi kuzima. Natumia utaratibu wa kuzima unaotakiwa yaani kwa kwenda kwenye start menu kisha nachagua shutdown na hapo ndipo hicho kialama cha kuwa busy kinatokea.
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Window XP Ina Version nyingi Kuna home edition, Professional na . Anyway hii sio muhimu lakini najaribu kukuonyesha details unazotakiwa kutoa ukiwa unatoa Technical problem.

  Baadhi ya solution katika hizi unaweza kufanikiwa ni

  1.Cha muhimu kwenye Windows XP . ni Service pack Je ni SP gani ya XP unayotumia. Latest nadhani ni SP3. Kama hauna SP3 chukua update kwenye site ya microsoft.

  2.Vile vile First reference point kama Windows XP inatatizo right click MY COmputer then chagua manage alafu chagua event viewer

  Hapo kwenye event viewer jaribu kucheki event viewer za system na Application kama kuna error. Hizi zinaweza kukupa clue nini hasa tatizo. Event yeyote yenye tatizo critical itakuwa na alama nyekundu.

  3.Tatizo pia linaweza kuwa bad sectors, lost clusters, cross-linked files, and directory errors. kama hili linachangi suluhisho ni kutumia comaand ya chkdsk . How
  To repair errors without scanning the volume for bad sectors, at the command prompt, type chkdsk volume:/f, and then press ENTER.

  Kwa maelezo zaidi ya hii tembelea http://support.microsoft.com/kb/315265

  4.Sytem Restore. Hii ni tool iko kwenye Windows. Nenda kwenye Programs then Accessories then System tools the system restore. Soma maelekezo itakusaidia kurestore system yako may be katika hali iliyokuwa mwezi 1ja uliopita. Hii ni njia bora ya kujaribu kabla ujakua umuzi wa kuiformat. Hapa huwezi kupoteza data zako .

  5.Otherwise ushauri wangu Kama mashine yako ina latest update ya SP then 3 chukua link kakupa mtaalamu 1ja ya kusafisha registry yako. ( Registry cleaner) bila kusahau kufanya Virus scanning

  Hope katika hizo unaweza kupata dawa.

  Good luck
   
 10. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu naona siku hizi vya bure hakuna. Nimefanikiwa ku-download hiyo software na niakaanza ku-scan na kumegundulika kuna errors kama 1400 hivi. Imeondoa kama errors 30 tu na inaniambia kuwa afya ya kompyuta yangu ni mbaya kwahiyo natakiwa kununua hiyo software ili iweze kuondoa errors zote. Bei ni USD 30.
   
 11. T

  Taso JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Jaribu Linux.
   
 12. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  CCleaner is a freeware dose not cost a penny, download from the link you were directed. Ive been using it as freeware until now even updated 2 days ago. Rudi previous post and follow the download link.


   
 13. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
Loading...