Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 655
- 604
Naomba mniambie kama kuna ukwel wowote kuwa mtu alyesoma egm atapata tabu kwenye ajira hapo bdae.
Naomba mniambie kama kuna ukwel wowote kuwa mtu alyesoma egm atapata tabu kwenye ajira hapo bdae.
Haaaaaa hakuna combination isio na ajiraaaa... kaka akili ya kuambiwa changanya na yakoo.... ajira nying sana had mwisho wa cku itabidi uchukue moja tuu inategemea na ufaulu wakoo kaka
dah kanitisha sana huyo jamaa alyeniambia hvyo mana yeye alikuwa anataka nisome pcm.
Hakuna combination mbaya kama pcm ni afadhari ya egm katika soko la ajira pcm kwa mfano ukipiga tatu basi kozi zile nzuri zote huwezi pata tofauti na egm pcm ili utambe lazima upige vizur hihi utaishia kuwa mwalimu na pcm kozi nyingi ni za kujiajiri kama usipo toka vizuri ingawa ndo combination ambayo inaongoza kwa kutoa T.O`s hapa bongo ukiotea pcm unatoka vizur na ukizingua ndo bas tena komaa na hiyo hiyo egm kama una imudu...ucje soma combination yenye jina kubwa kumbe huwezi kuihandle. So gud luck ma boy
u hav nailed it broh.....raha ya PCM ni ukifaulu vizuri other than that....lazima ukome hapa mjini...na hii imetokana na monopoly ya UDSM ktk fani za engineering ikifuatiwa na DIT,st joseph na vyuo vingine....game ya pcm ukizingua tunakuokotea mbali
Unataka uhakika wa ajira .. soma PCB! ... hakuna dactari anayekosa kazi.. kwanza huangaiki na bahasha mtaani....
naongea from experience.. sijawahi kujuta kuchukua PCB! ...
kwanza mtu wa cbg hawez kuwa dokta?
Hakuna combination mbaya kama pcm ni afadhari ya egm katika soko la ajira pcm kwa mfano ukipiga tatu basi kozi zile nzuri zote huwezi pata tofauti na egm pcm ili utambe lazima upige vizur hihi utaishia kuwa mwalimu na pcm kozi nyingi ni za kujiajiri kama usipo toka vizuri ingawa ndo combination ambayo inaongoza kwa kutoa T.O`s hapa bongo ukiotea pcm unatoka vizur na ukizingua ndo bas tena komaa na hiyo hiyo egm kama una imudu...ucje soma combination yenye jina kubwa kumbe huwezi kuihandle. So gud luck ma boy
Uwezi kosa ajira ... mashamba yapo utalima tu
Nahisi Idea ya mshauri wa huyo kaka ilikuwa akisoma egm atalazimika kusoma arts degree programmes mfano accounts ambazo ajira zake ni za shida sana ukilinganisha na sayansi atayesoma engineering degree programmes. Kusoma education or whatever that wasn't in your mind ni matokeo tu baada ya kuangalia alternatives au kulazimishwa na mazingira mfano mikopo........,mdogo wangu pia(mtoto wa aunt) alishauriwa asome egm,nikaingilia kati na kulazimisha asome PCM,saivi yuko Ardhi anasoma engineering na heslb wanamsponsor of which could not be the case with EGM. Kama una pesa yako ya kujisomesha mpaka elimu ya juu na hautegemei kuajiriwa soma kozi yoyote uipendayo vinginevyo soma mazingira. ........