Kombi ya EGM, ushindani katika soko la ajira

Zingzingzing

JF-Expert Member
May 13, 2014
655
604
Naomba mniambie kama kuna ukwel wowote kuwa mtu alyesoma egm atapata tabu kwenye ajira hapo bdae.
 
EGM isn't a proffessional so tegemea ajira baada ya kuwa umesoma fani fulani afterwards
 
Naomba mniambie kama kuna ukwel wowote kuwa mtu alyesoma egm atapata tabu kwenye ajira hapo bdae.

Haaaaaa hakuna combination isio na ajiraaaa... kaka akili ya kuambiwa changanya na yakoo.... ajira nying sana had mwisho wa cku itabidi uchukue moja tuu inategemea na ufaulu wakoo kaka
 
Wewe soma kitu ambacho kwanza unakipenda na una uwezo nacho,usisome kwa kufuata mkumbo au kwasababu mtu amesema, kumbuka mwisho wa siku mtihani wa mwisho unafanya wewe.Ajira ni matokeo tu,ili mradi uwe competent.
 
Haaaaaa hakuna combination isio na ajiraaaa... kaka akili ya kuambiwa changanya na yakoo.... ajira nying sana had mwisho wa cku itabidi uchukue moja tuu inategemea na ufaulu wakoo kaka

dah kanitisha sana huyo jamaa alyeniambia hvyo mana yeye alikuwa anataka nisome pcm.
 
Hakuna combination mbaya kama pcm ni afadhari ya egm katika soko la ajira pcm kwa mfano ukipiga tatu basi kozi zile nzuri zote huwezi pata tofauti na egm pcm ili utambe lazima upige vizur hihi utaishia kuwa mwalimu na pcm kozi nyingi ni za kujiajiri kama usipo toka vizuri ingawa ndo combination ambayo inaongoza kwa kutoa T.O`s hapa bongo ukiotea pcm unatoka vizur na ukizingua ndo bas tena komaa na hiyo hiyo egm kama una imudu...ucje soma combination yenye jina kubwa kumbe huwezi kuihandle. So gud luck ma boy
 
Unataka uhakika wa ajira .. soma PCB! ... hakuna dactari anayekosa kazi.. kwanza huangaiki na bahasha mtaani....

naongea from experience.. sijawahi kujuta kuchukua PCB! ...
 
u hav nailed it broh.....raha ya PCM ni ukifaulu vizuri other than that....lazima ukome hapa mjini...na hii imetokana na monopoly ya UDSM ktk fani za engineering ikifuatiwa na DIT,st joseph na vyuo vingine....game ya pcm ukizingua tunakuokotea mbali
 
Ya kaka hilo ni sahihi kabisa pcm ukizingua hapa bongo watakukwepa kama kinyesi....labda ukawe mwalimu wa physics o level hii cmbntion ni mziki laki ukifauluu duuuuuuuuu utaitwa na vodacome,airtel,zantel,tigo na hadi watakusomesha kama tu hiyO PCM utapiga vizuri...ukapige mzigo wa tele
 
Unataka uhakika wa ajira .. soma PCB! ... hakuna dactari anayekosa kazi.. kwanza huangaiki na bahasha mtaani....

naongea from experience.. sijawahi kujuta kuchukua PCB! ...

kwanza mtu wa cbg hawez kuwa dokta?
 
Hakuna combination mbaya kama pcm ni afadhari ya egm katika soko la ajira pcm kwa mfano ukipiga tatu basi kozi zile nzuri zote huwezi pata tofauti na egm pcm ili utambe lazima upige vizur hihi utaishia kuwa mwalimu na pcm kozi nyingi ni za kujiajiri kama usipo toka vizuri ingawa ndo combination ambayo inaongoza kwa kutoa T.O`s hapa bongo ukiotea pcm unatoka vizur na ukizingua ndo bas tena komaa na hiyo hiyo egm kama una imudu...ucje soma combination yenye jina kubwa kumbe huwezi kuihandle. So gud luck ma boy

PCM ni combination pekee ya sayansi iliyopangika kimahusiano kati ya masomo yote matatu,ni rahisi na waweza soma kozi yoyote chuo isipokuwa udaktari tu,tusidanganyane,si lazima upate division one,E tatu zitakuruhusu kuendelea na chuo na nafasi ni nyingi sana......soma pcm kwa maendeleo ya dunia yetu but ukubali kuja kuongozwa na ndugu zetu wa arts/hrs------Interest:nimesoma PCM, nilipata division IIIpt 13,na nilipata udsm,sua,udom na AAI ikabidi nichague moja kulingana na interest binafsi,ni graduate engineer na nimeajiliwa on senior position.
 
Uwezi kosa ajira ... mashamba yapo utalima tu

Nahisi Idea ya mshauri wa huyo kaka ilikuwa akisoma egm atalazimika kusoma arts degree programmes mfano accounts ambazo ajira zake ni za shida sana ukilinganisha na sayansi atayesoma engineering degree programmes. Kusoma education or whatever that wasn't in your mind ni matokeo tu baada ya kuangalia alternatives au kulazimishwa na mazingira mfano mikopo........,mdogo wangu pia(mtoto wa aunt) alishauriwa asome egm,nikaingilia kati na kulazimisha asome PCM,saivi yuko Ardhi anasoma engineering na heslb wanamsponsor of which could not be the case with EGM. Kama una pesa yako ya kujisomesha mpaka elimu ya juu na hautegemei kuajiriwa soma kozi yoyote uipendayo vinginevyo soma mazingira. ........
 
Thank u
 
Back
Top Bottom