Kombe la Dunia 2022: Droo ya Hatua makundi

Kundi la Morocco sasa sijui kama watatoboa hawa ndugu zetu waliowahi ikataa African Union
 
Afrika itaushangaza ulimwengu
1)Kwa mara ya Kwanza timu kutoka Afrika itafika nusu fainali
2)Mwenyeji atamaliza wa mwisho kwenye kundi lake
3)Kuna timu itapigwa bao 8+
🏌️🏌️🤼
 
Afrika itaushangaza ulimwengu
1)Kwa mara ya Kwanza timu kutoka Afrika itafika nusu fainali
2)Mwenyeji atamaliza wa mwisho kwenye kundi lake
3)Kuna timu itapigwa bao 8+
🏌️🏌️🤼
Mkuu umemaliza, Qatar hashindi hata mechi moja. Kwa mara ya Kwanza kombe la dunia mwenyeji anamaliza mechi zake zote bila kusuluhu Wala ushindi. Aibu
 
Back
Top Bottom