Kombe la Arsenal, EPL lapelekwa Kenya, bongo tunafeli wapi?

Kombe la Arsenal, EPL lapelekwa Kenya, bongo tunafeli wapi?

Huenda connection inachangia, ila kwa macho ya kawaida soote tunajua jinsi ambavyo wakenya wengi wamejiweka wazi ni mashabiki wa arsenal.. mitandaoni ni mara nyingi tu kumekuwa na memes mashabiki wa kenya wakichekwa..huku kwetu sidhani maana hakuna vitu hivyo, mashabiki wa arsenal huku tumepoa.
 
Naona kama mapenzi ya ligi za ulaya au nje yakiwa juu kupita kiasi gharama hulipwa na ligi ya ndani. Ufuatiliaji hupungua.
 
Kuelekea juma tatu ambapo, parade Lita happen uingereza jijini London tayari losha Anza kizungushwa nchi tofauti, ambapo limepita Kenya na litaendelea kwingineko sidhani kama bongo litakuja.

Jamaa yangu Mmoja kanijuza wakenya wana connection kubwa hapa duniani na ndo mana hawakuhitaji kumshawishi I showspeed kwenda aloenda mwenyewe.

KOMBE LA ARSENAL wamepeleka arsenal wenyewe, sisi je?

Ok nasikia tarehe 30 may kitawaka hapa Dar kuanzia posta mashabiki wote wa arsenal, ni full shangwe, bonge la parade Sina hakika kama KOMBE litakuwepo mana London uingereza nao ratiba Yao ni juma tatu hii ijayo. Anyway ndo maisha, kupanga ni kuchagua

View attachment 3596623View attachment 3596625
Kombe la arsenal,wao ndiyo waamuzi walipeleke wapi,we unawalaumu watz!
 
Na sisi wananchi tutawapelekea la NBC, tuna mashabiki wengi sana huko
 
Back
Top Bottom