Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 2,240
- 5,401
SI LAZIMA LIJE KWETU TANZANIA.Kuelekea juma tatu ambapo, parade Lita happen uingereza jijini London tayari losha Anza kizungushwa nchi tofauti, ambapo limepita Kenya na litaendelea kwingineko sidhani kama bongo litakuja.
Jamaa yangu Mmoja kanijuza wakenya wana connection kubwa hapa duniani na ndo mana hawakuhitaji kumshawishi I showspeed kwenda aloenda mwenyewe.
KOMBE LA ARSENAL wamepeleka arsenal wenyewe, sisi je?
Ok nasikia tarehe 30 may kitawaka hapa dar kuanzia posta mashabiki wote wa arsenal, ni full shangwe, bonge la parade Sina hakika kama KOMBE litakuwepo mana London uingereza nao ratiba Yao ni juma tatu hii ijayo. Anyway ndo maisha, kupanga ni kuchagua
Lisha pita hiyo picha hapo juu, ndo imeishaaaaaaaaa hivooooo, labda NBC premier leagueKudaadadadeki! Nitakwebda kulishuhudia Kenya.
Maneno ya mkosajiSI LAZIMA LIJE KWETU TANZANIA.
Si lazima? Au sizitaki mbichi hizi? Bongo mounguze umaskini jeuriSI LAZIMA LIJE KWETU TANZANIA.
Twenzetu Kenya.Lisha pita hiyo picha hapo juu, ndo imeishaaaaaaaaa hivooooo, labda NBC premier league
Hapana mkuuUliona event yao baada ya arsenal kuchukua ubingwa lakini???
Kenya kuna fans wengi sana wa Arsenal, sis
Wanasiasa bwanaahiyo ni replica imetengenezwa na mashabiki wakenya.
Kombe la Epl lenyewe liko london chini ya ulinzi mkali.
hangai kwa hilo.
Wanasiasa bwanahiyo ni replica imetengenezwa na mashabiki wakenya.
Kombe la Epl lenyewe liko london chini ya ulinzi mkali.