Kombani na Lissu Live on Star TV

kama kila mtanzania atapata uhakika wa kupata chakula, maji, umeme, elimu na afya sina muda na katiba mpya hata raisi awe anasema aitwa muungu, sina time nae ili mradi basic rights are realized

hivyo unavyotaka vilikuwepo libya, basic needs haziishii hapo tu
 
Kombani is only good at smiling. Basi. Kwenye hizo anga zingine wala hayupo kabisa! Watanyooka tu hawa magamba, watabana weee mwisho wataachia wenyewe! Nguvu ya umma si mchezo!
 
Huyu mwanamke anaeitwa Kombani katoka wapi?Nina hasira mpaka basi,aaaaaahhghhhhhhh!Piga bomba za vichwa,goddamn!
 
serikali iliagizwa na bunge kufanya marekebisho,alivyouliza aeleze ni hansadi ipi na ya tarehe ngapi ambayo imelekodi maagizo hayo akaishia kukenua kwa aibu.
Kwenye hotuba yake Bungeni Jumatatu yeye mwenyewe Lissu amesema Serikali ilitoa maagizo hayo, Lissu has some explaining to do:

"Mheshimiwa Spika...
Bunge - kwa kupitia Spika - liliigiza Serikali kufanya yafuatayo....iandae Muswada huu kwa lugha ya Kiswahili ili wananchi...

...kwa mujibu wa k
anuni ya 84(2) Kamati ilikwishaanza kupokea maoni ya wadau "...Kazi iliyokuwa imebaki kwa Kamati ilikuwa ni kutumia mamlaka yake chini ya kanuni ya 84(3) "... kufanya marekebisho katika Muswada wa Sheria kwa kumshauri Waziri anayehusika na Muswada huo kufanya mabadiliko...."

Kwa hiyo Lissu kasema Bungeni ( a ) Bunge lilitoa maagizo ...( b ) muswada ulishaanza kufanyiwa kazi na kamati... ( c ) Kanuni zinasema mwisho wa siku Waziri anayehusika na Muswada ndio anaefanya mabadiliko ya muswada . Sasa je:

( 1 ) Kama Bunge halikutoa maagizo muswada urudi kwa Kombani, nani kwa mfano angeutafsiri kwa Kiswahili, Tundu Lissu na Spika?

( 2) Kama hakuna Hansard za ruhusa ya Tume, kina Lissu walikuwa wanafanya nini wakati Kombani anaingia kuwaibia makabrasha ya muswada, walikuwa "wanatafakari" kama Wassira?

(3) Kama tume ya kina Lissu haikumpa Kombani muswada, na wala Kombani hakuingia kwenye makbrasha ya Tume kuiba muswada bali alifanya mabadiliko juu kwa juu akiwa wizarani (maana kila mtu ana nakala) ni kwa nini Tume iliacha kuendelea na kazi ikasubiri Kombani aka take over the marekebisho?

( 4 ) Kama Kombani anayo mamlaka ya kuzuia Tume isiendelee na kazi, Lissu atoe barua ya amri ya Kombani iliyowazuia kuendelea na kazi, na kama hana, Kombani kosa lake nini?
 
Komban aliwahi kusema kuwa wanaodai katiba mpya ni watu wa mtaani wasio na kili nzuri. Namkubali mzee Mkinga alipoomba wanachuo wampe haki yake siku moja akiwa kwenye mjadala wa katiba mpya hapo UDSM. Pinda nae alisema haoni tatizo na katiba iliyopo kwa sasa. Wasira naye akasema katiba iliypo iko sawa na hatuhitaji katiba mpya Mwnasheria mkuu naye akarudi kama wasira JE, kuna sababu ya kuendelea kumwangalia kombani Star tv!? Hakuna kiongozi wa CCM aliye tayari kuona katiba mpya kwakuwa nchi hii ni yao. Ni kama shamba au plot yao wanaolithishana. Ni jukumu letu kuwaondoa madarakani alafu wakajibu mabaya yote wanayoendelea kutufanyia hasa wanapojilinda na ufisadi wao.[/QU Kweli, eti walioxema hawataki katiba mpya ndo wanasimamia uundwaji wa katiba mpya what do you think! Ndo maana hawataki mswaada urudi kwa wananch wanataka kupindisha mambo kama walivyofanya wamebadilisha baadh ya vifungu vingne vinavyolinda maslah yao wameviacha!
 
Kwenye hotuba yake Bungeni Jumatatu yeye mwenyewe Lissu amesema Serikali ilitoa maagizo hayo, Lissu has some explaining to do:

"Mheshimiwa Spika...
Bunge - kwa kupitia Spika - liliigiza Serikali kufanya yafuatayo....iandae Muswada huu kwa lugha ya Kiswahili ili wananchi...

...kwa mujibu wa k
anuni ya 84(2) Kamati ilikwishaanza kupokea maoni ya wadau “...Kazi iliyokuwa imebaki kwa Kamati ilikuwa ni kutumia mamlaka yake chini ya kanuni ya 84(3) “... kufanya marekebisho katika Muswada wa Sheria kwa kumshauri Waziri ... anayehusika na Muswada huo kufanya mabadiliko....”

Kwa hiyo Lissu kasema Bungeni ( a ) Bunge lilitoa maagizo ...( b ) muswada ulishaanza kufanyiwa kazi na kamati... ( c ) Kanuni zinasema mwisho wa siku Waziri anayehusika na Muswada ndio anaefanya mabadiliko ya muswada . Sasa je:

( 1 ) Kama Bunge halikutoa maagizo muswada urudi kwa Kombani, nani kwa mfano angeutafsiri kwa Kiswahili, Tundu Lissu na Spika?

( 2) Kama hakuna Hansard za ruhusa ya Tume, kina Lissu walikuwa wanafanya nini wakati Kombani anaingia kuwaibia makabrasha ya muswada, walikuwa "wanatafakari" kama Wassira?

(3) Kama tume ya kina Lissu haikumpa Kombani muswada, na wala Kombani hakuingia kwenye makbrasha ya Tume kuiba muswada bali alifanya mabadiliko juu kwa juu akiwa wizarani (maana kila mtu ana nakala) ni kwa nini Tume iliacha kuendelea na kazi ikasubiri Kombani aka take over the marekebisho?

( 4 ) Kama Kombani anayo mamlaka ya kuzuia Tume isiendelee na kazi, Lissu atoe barua ya amri ya Kombani iliyowazuia kuendelea na kazi, na kama hana, Kombani kosa lake nini?

Usijadili kutokana na "half quotes", huo ndio unaitwa upotoshwaji. Kama ni mashambulizi ya hotuba ya Waziri Kivuli wa sheria, shambulia kila hoja ilivyo, siyo vipande vipande.
 
Wabunge nao akili mbovu kama wamekubali kujadili muswada wa katiba c wajadili mbona wanamjadili Tundu Lisu na chadema tu.du nahisi wamesahau kilichowaleta hebu mchek Wacla
 
Huyo mama ni kilaza kabisa. yani ameupata huo uwaziri wakati mbaya. Mungu amejibu maombi.
 
Si bora hata wangemleta Werema kuliko huyu Celina? Hivi vyeo vingine muwe
mnavitakaa jamani sio saizi yenu. Ona sasa ulivyoabika leo mbele ya luninga
mimi ninahisi hata ndevu zake zimeongezeka nchi 2! Kwi kwii Kwiii
 
Kwanini usifanyika mjadala huu wa Katiba ya Tz baina ya Chadema (Tundu lissu ) na CUF mwakilishi (Aboubakar Hamis) ili tujue mbivu na mbichi. Kwani siku zote Lissu anapewa watu dhaifu na hivyo kutumia nafasi hiyo kuinanga Znz na wa Znz .

Apambanishwe na Mh Abobakar Hamis ili asomeshwe ili kujua katiba ni nini?
 
kombani na lissu si watu wakuhojiwa pamoja-kombani hawezi jibu hoja za lissu kabsa
 
Kwenye hotuba yake Bungeni Jumatatu yeye mwenyewe Lissu amesema Serikali ilitoa maagizo hayo, Lissu has some explaining to do:

"Mheshimiwa Spika...
Bunge - kwa kupitia Spika - liliigiza Serikali kufanya yafuatayo....iandae Muswada huu kwa lugha ya Kiswahili ili wananchi...

...kwa mujibu wa k
anuni ya 84(2) Kamati ilikwishaanza kupokea maoni ya wadau “...Kazi iliyokuwa imebaki kwa Kamati ilikuwa ni kutumia mamlaka yake chini ya kanuni ya 84(3) “... kufanya marekebisho katika Muswada wa Sheria kwa kumshauri Waziri ... anayehusika na Muswada huo kufanya mabadiliko....”

Kwa hiyo Lissu kasema Bungeni ( a ) Bunge lilitoa maagizo ...( b ) muswada ulishaanza kufanyiwa kazi na kamati... ( c ) Kanuni zinasema mwisho wa siku Waziri anayehusika na Muswada ndio anaefanya mabadiliko ya muswada . Sasa je:

( 1 ) Kama Bunge halikutoa maagizo muswada urudi kwa Kombani, nani kwa mfano angeutafsiri kwa Kiswahili, Tundu Lissu na Spika?

( 2) Kama hakuna Hansard za ruhusa ya Tume, kina Lissu walikuwa wanafanya nini wakati Kombani anaingia kuwaibia makabrasha ya muswada, walikuwa "wanatafakari" kama Wassira?

(3) Kama tume ya kina Lissu haikumpa Kombani muswada, na wala Kombani hakuingia kwenye makbrasha ya Tume kuiba muswada bali alifanya mabadiliko juu kwa juu akiwa wizarani (maana kila mtu ana nakala) ni kwa nini Tume iliacha kuendelea na kazi ikasubiri Kombani aka take over the marekebisho?

( 4 ) Kama Kombani anayo mamlaka ya kuzuia Tume isiendelee na kazi, Lissu atoe barua ya amri ya Kombani iliyowazuia kuendelea na kazi, na kama hana, Kombani kosa lake nini?
Inaonekana una uwezo wa kumjibu Lissu kuliko Celina Kombani, bahati mbaya upo nje ya ulingo. Hata hivyo, sina uhakika kama nukuu zako zimezingatia hoja zote za Mh. Lissu.
 
hivyo unavyotaka vilikuwepo libya, basic needs haziishii hapo tu

unapokuwa na jamii ya watu waelewa, basic needs inextend hadi kwenye haki ya kila mtu kuwa kiongozi ilinradi wananzengo wamkubali tu
 
Kama kila mtanzania atapata uhakika wa kupata chakula, maji, umeme, elimu na afya sina muda na katiba mpya hata raisi awe anasema aitwa muungu, sina time nae ili mradi basic rights are realized

Akili yako si nzuri, Haki ya Mungu! Watz hawawezi kupata vitu ulivyotaja wakati serikali inakumbatia ufisadi, rushwa, inaangusha thamani ya fedha ili wao warudishe hela zao walizoficha miaka nenda rudi huko benk za nje na wanufaike zaidi, kukiwa na uonevu dhidi ya raia wanaopigwa mabomu kwa kutafuta haki katika nchi yao, kukiwa na elimu mbovu kwa watz, kukiwa na ugawianaji madaraka kwa misingi ya kirafiki, kishabiki, kivyama n.k.

Hatuwezi kuendelea. Miaka hamsini bado tunalia na ujinga, umasikini na maradhi, na vinazidi kuongezeka. Huo ni ujuha kufikiri hivyo.
 
... Hata hivyo, sina uhakika kama nukuu zako zimezingatia hoja zote za Mh. Lissu.

... Kama ni mashambulizi ya hotuba ya Waziri Kivuli wa sheria, shambulia kila hoja ilivyo, siyo vipande vipande.
I went straight to the point.

Mada husika hapa si hotuba nzima ya Lissu, bali ni tuhuma dhidi ya serikali kuharibu mchakato wa mlolongo wa matukio ya kusomwa na kurekebishwa kwa muswada. Period.

Question: Why did the judicial committee stop working on the bill while Kombani took over the process and re-wrote the bill? And how did she take over? When did she do it? How did she "steal" the bill from the control of the committe? Why didn't the committee say something immediately after Kombani started commandeering the legislation? Where was Lissu?
 
Kwanini usifanyika mjadala huu wa Katiba ya Tz baina ya Chadema (Tundu lissu ) na CUF mwakilishi (Aboubakar Hamis) ili tujue mbivu na mbichi. Kwani siku zote Lissu anapewa watu dhaifu na hivyo kutumia nafasi hiyo kuinanga Znz na wa Znz .

Apambanishwe na Mh Abobakar Hamis ili asomeshwe ili kujua katiba ni nini?

kwanza hatutaki muendelee kututawala. wakoloni wazenji nyie!!!!
 
Back
Top Bottom