Wabogojo, kwanza asante kutujulisha hili.Mh. Tundu Lissu anajaribu kutufafanulia ni kwanini CHADEMA kimekuwa na msimamo huu walionao dhidi ya Muswada wa Katiba Mpya.
Mbona wanaonyesha wanyama tu Star Tv? au mjadala umeisha?
Angalia vizuri labda kuna binadamu wawili (Mtangazaji na Lisu) halafu huyo mwingine jaribu kumuangalia vizuri, labda ndio yeye
hahaaaaaa uuuuuuwwiiii..... Gudi moningi ndugu!!Angalia vizuri labda kuna binadamu wawili (Mtangazaji na Lisu) halafu huyo mwingine jaribu kumuangalia vizuri, labda ndio yeye
Angalia vizuri labda kuna binadamu wawili (Mtangazaji na Lisu) halafu huyo mwingine jaribu kumuangalia vizuri, labda ndio yeye
kweli wapendwa ukiamua kutoa thread ambao inahusu mjadala kwenye tv jitahidi kutoa update maana sio wote wenye access ya tv wakati huo.. hizi habari nusunusu sio nzuri ..ingawa sinatupa awareness tu
hahaaaaaa uuuuuuwwiiii..... Gudi moningi ndugu!!Angalia vizuri labda kuna binadamu wawili (Mtangazaji na Lisu) halafu huyo mwingine jaribu kumuangalia vizuri, labda ndio yeye
angekuwepo yule mzee wa bunda na huyu mama bonge la utalii
hahaaaaaa uuuuuuwwiiii..... Gudi moningi ndugu!!
Studio na 3 Dodoma alikuwepo Lissu,Kombani na Mwanaharakati mmoja toka kituo cha sheria na haki za binaadam,Studio na.2 alikuwepo Paul Mabuga na Mwanaharakati mmoja.Kombani kimsingi kabisa anasema anakubaliana na mawazo ya akina Lissu,ila angependa akina Lissu wawepo Bungeni ili waujadili kwa pamoja.Lissu anasema kuwepo kwao Bungeni ni sawa na kuubariki,kuhalalisha mswada ambao kimsingi ni haramu kwa kuwa umekiuka kanuni za kudumu za bunge na haujafuata matakwa ya wananchi ambao kimsingi ndo wanaipa madaraka serikali.
Komboni anasema muswada ni halali kwani serikali iliagizwa na bunge kufanya marekebisho,alivyouliza aeleze ni hansadi ipi na ya tarehe ngapi ambayo imelekodi maagizo hayo akaishia kukenua kwa aibu.kuhusu wananchi kutoa maoni yao Kombani anasema ana file kubwa lenye maoni ya wananchi.alipoulizwa maoni hayo kama ni ya muswada uliosomwa bungeni mwezi wa nne au huu wa mwezi wa kumi na moja,hakutoa majibu.Kwa ujumla Kombani hakuongea lolote la maana zaidi ya kuinama na kucheka cheka nahisi ilikuwa aibu pamoja na maswali ya haja aliyoulizwa na watangazaji.
Mungu tusaidie watanzania,Kiukweli kwa Serikali hii,tusipoweka woga wetu kando,tutaangamia.
AMANI HAIJI ILA KWA NJIA YA UPANGA-----------KIjua ndicho hiki Usipouanika