Kodtec Speaker systems

Yah, mi niko neutral ila najaribu kuelezea experience yangu tu sababu napenda mziki hamna mfano na pia nina sikio la kujua mziki wa kiwango na mziki wa kijinga.

Nimeshasikiliza system kibao ila zile pure hi-fi system ni ngumu kuzipata sikuhizi miziki mingi ime concetrate kwenye bass tu. Bass lenyewe unakuta ni flat and boomy ni ngumu kupata mashine zenye ile dynamic sound processing (DSP) effects inayofanya usikie sound in different spectrums ambayo ndio wengi tunaopenda mziki tunaikosa sikuhizi.

That Speaker proves to cover that gap kwa setup na hata ukiisikiliza tu unaipata ile ladha ya DSP straight away!
hivi kwa sasa seapiano naweza pata na model gani nzuri yenye sound nzuri
 
Alaaah! Kwa maelezo(specifications/promo) ya mkuu juu nikajua wana range parefu.

Huwa siamini sana kwa bei nafuu kuuziwa kitu bora huwa na wasiwasi.

Hapo ni umakini ndio unahitajika.
Mkuu inategemea mfano kuna simu ukienda pale mlimani unauziwa 800k alafu ukija kkoo unauziwa 500k sasa ukiuziwa ya kkoo unaweza sema ni fake.. wakati huohuo yule wa mlimani anaiagiza kkoo na boda chap anakuuzia
 
Basi kma ndo hivyo itakuwa ni option nzuri sana ukilinganisha na price range, yaani tuseme kwa laki 4 unapata mziki sound quality karibu wa 1m ni jambo zuri sanaaaa
I guess utakuwa balozi mzuri kaka😅 wewe ndie wa kudhibitisha kile ambacho nilikileta humu jukwaani! Uje uwaelezee kama nimesifia uongo
 
Kuna hii kitu nailia timing,bei yake haijaachana sana na hiyo kodtech,kama unanishawishi vile niende kwenye kodtech sema muonekano wake tu 🤣
Hii JBL nimeisikia sound yake inatwanga deep bass iila kodtec pia nayo inagusa deep bass so zitachuana vikali kwa bass production!

Hii JBL imekuwa tuned kutoa Crispy Highs huku mids zake zimelimwa kimtindo. Watapo pishania ni hapo tu sababu Mids za Kodtec zitakuwa more audible.
 
Hili ni kweli.
So kwa mtu anayetafuta sound nzuri ya bei ya kizalendo kwa ghetto lake unamshaurije?
Kupata deep clean bass bila gharama ungeweza kuipata humo! Ama JBL 2.1 Deep Bass soundbar
 
Achana na huo ujinga tafuta music system ya uhakika.....SONY probably
Sony kwa bass production hafiki kwenye range ya 20Hz-30Hz! Hii range huitaji equalizer kukata mids bali mziki hata ukiupigia by default from Youtube still unagonga vilivyo. Kodtec kwa ile bass production yake anafikia range ya 20Hz-30Hz.

Sony huwa anaishia 45Hz bass iko Muffled sababu inachanganyika na mids. Sony bila Equalizer ya ku boost highs na ku compress bass effect ili kuondoa mid frequencies hainogi!
 
Hii JBL nimeisikia sound yake inatwanga deep bass iila kodtec pia nayo inagusa deep bass so zitachuana vikali kwa bass production!

Hii JBL imekuwa tuned kutoa Crispy Highs huku mids zake zimelimwa kimtindo. Watapo pishania ni hapo tu sababu Mids za Kodtec zitakuwa more audible.
Mkuu is back 😂
 
Back
Top Bottom