Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,120
- 190,521
- Thread starter
- #81
Hahahah mie sikufichi, we pita kwenye stores zao Pale Mlimani City hakikisha una playlist yako freshi then Omba kutestiwa hiko kinu 😂😂😂 kwanza. Bank hazipo mbali pale utaenda tu mwenyewe kaka kuchomoa noti!Mwanangu umenipa moto mpaka nawaza nikavamie benki nisepe na minoti nikaunyake huo mzigo

