Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,367
- 191,407
- Thread starter
- #1,181
kisanga hio, lazma mombane na majiraniMwamba sio AVR zote, mfano systems hiyo, hapo inasukuma sub nne, kila floor standing ina sub kubwa tu 8" mpaka 10" achilia hizo mids mbili mbili zinazoonekana na ni sub za maana tu. Ndio zinazosukumwa na AVR.
Hizo dedicated sub mara nyingi kwenye AVR huwa ni active subView attachment 3605919
Mziki wa AVR, ni balaa Sub 4, 2 ni active halafu nyumba ya kupanga, mids za kibabe