Kodi ya simu yapingwa rasmi mahakamani

Kodi ya simu yapingwa rasmi mahakamani

Nawashangaa Watanzania mnabeba simu tatu halafu mnakataa kulipia kodi.

Hii kodi iwepo na nnaikubali kwa roho kunjufu kabisa.

Na hizo kampuni za simu zitashindwa hii kesi na kila zitakavyochelewesha kuanza kukata hii kodi ndivyo tutalimbikiza kodi na tutaumia sisi zaidi na wao watajichotea humohumo. Ni wajanja tu hao.

Serikali iwaambie kama wanahuruma sana na wananchi wapunguze bei zao kufidia hii kodi.

Na Mitanzania ijinsi tulivyo mingine itaingia kichwachwa na kuwaunga mkono hizi kampuni ambazo hazitazami maslahi ya Mtanzania zaidi ya bishara yao tu.

mawazo yako mazuri sana natamani nikutafute tuongee zaidi kwani watu wanaona raha kufanya anasi na kutwa anapigia simu wachezaji wake halafu anakataa kulipia kodi kamwe hawatafanikiwa.
 
Ina maana kufikia leo kila mtanzania is in arrears ya kodi hiyo kwa miezi mitatu. Kesi ikifikia ukomo tutakuwa na arrears za si chini ya miaka mitatu kwa laini ambayo ni 36,000 kwa laini moja wenye laini tatu ina maana ni laki na kitu.
 
Serikali dharimu kweli, inajitahidi kuwanyonya wananchi wake kila kona, mimi nikiluwa na nne, lakini hata kabla ya kuanza kutoza hizo zao nimebakiza mbili, lakini on the way to one line.

Serikali washindwe katika hili.
 
hahahaha unaoneka (wazungu wanasema u are fed up) na ccm...tupo pamoja sana mkuu!!!
waongeze ifke buku hata 5 kwa mwezi.baadhi ya watanzania mambulula yanayoendelea kung'ang'ania ccm yapate kujifunza manafk wakubwa.
 
hizo kodi wanazotoa watanzania. je zinaendana na kipato chao? hivi unajua watanzania wanaishi chini ya dolla 1 kwa siku? nenda uko vijijin uone hali ilivyo ngumu. kupata elfu tu ni kazi kubwa.

pia usiangalie wachache angalia watanzania walio wengi.
hivi unajua serikali ina misamaha mingi ya kodi kwa matajiri na sekta kama madini.

kwenye madini serikali ya botswana inapata zaidi ya asilimia 40 ya kodi pia kuna sheria za kuwalazimisha wajenge miundo mbinu sehemu wanakochimba.

uku Tanzania serikali inachukua asilimia 3.
ujinga sana huuu

Una habari za kizamani kweli, hiyo ilishapitwa na wakati siku nyingi. Cheza na Kikwete wewe? Kajisomee, inaonesha hata nchi yako huijui.

Elfu moja kwa mwezi inaemshinda kulipa basi asibebe simu.

Mnataka maendeleo kodi hamtaki kulipa?
 
..TULIWEKE HILI SUALA VIZURI, NA TUSIBURUZWE TU. KWA UFAHAMU WANGU MIMI NI KWAMBA KODI YA MAPATO HUWA INATOZWA PALE AMBAPO KUNA KIPATO ( INCOME) IWE KWA NAMNA YOYOTE ISIPOKUWA KWENYE MASHIRIKA YALIYOSAMEHEWA KODI, SASA HAPA TUJIULIZE SWALI, HIYO KODI TUTAKAYOKUWA TUNAILIPA KILA MWEZI, JE NI KWA KIPATO KIPI TUNAKIPATA KWA KUWA NA ILE KADI TU? MAANA UTUMIE USITUMIE LAZIME UTOZWE HIYO KODI, JE NI KODI YA KUMILIKI LINE?

USAHIHI NI KWAMBA ILITAKIWA HIYO KODI ITOZWE MARA TU MTU ANAPONUNUA HIYO KADI YA SIMU, HII NI SAWA NA MTU ANUNUE BIDHAA ALAFU AILIPIE KODI KILA MWEZI (YAANI UNUNUE MFUKO WA SIMENTI LEO NA ULIPE KODI, ALAFU TENA BAADA YA MWEZI UULIPIE TENA KODI, SI UNAO), NADHANI HAPO HAKUNA UHALALI WOWOTE WA HIYO KODI, KAMA NI KODI YA MTU KUFANYA MAWASILIANO, MBONA HUWA TUNAILIPA PALE TUNAPONUNUA MUDA WA MAONGEZI KWA SABABU ILE VOCHA HUWA INAJUMUISHA VAT (kuna sehemu kwenye vocha pameandikwa VAT INCLUSIVE), MIMI NAAMINI TUKIWAULIZA HAWA TRA NA TCRA NI KITU GANI HASA KATIKA KADI YA SIMU TUNACHOKILIPIA KODI (KATI YAUMULIKI WA KADI NA KUTUMIA HIYO KADI) HAWATAKUWA NA JIBU SAHIHI.

MAANA UMILIKI WA KADI, KODI YAKE TUNAILIPA MARA TUNUNUAPO KADI, NA KAMA NI MATUMIZI YA KADI BASI KODI YAKE TUNAILIPA PALE TUNAPONUNUA HIYO VOCHA, MAANA KADI YA SIMU HAIWEZI TUMIKA KAMA HAINA MUDA WA HEWANI, LABDA UPIGIWE.

NA INAONEKANA TRA WENYEWE WAMESAHAU KUWA WANA SERA YA KWAMBA KODI ILIPWE PALE KUNAPOFANYIKA TRANSACTION, SASA HIYO TUTAKAYOILIPA KILA MWEZI NI KWA TRANSACTION GANI.
 
Nawashangaa Watanzania mnabeba simu tatu halafu mnakataa kulipia kodi.

Hii kodi iwepo na nnaikubali kwa roho kunjufu kabisa.

Na hizo kampuni za simu zitashindwa hii kesi na kila zitakavyochelewesha kuanza kukata hii kodi ndivyo tutalimbikiza kodi na tutaumia sisi zaidi na wao watajichotea humohumo. Ni wajanja tu hao.

Serikali iwaambie kama wanahuruma sana na wananchi wapunguze bei zao kufidia hii kodi.

Na Mitanzania ijinsi tulivyo mingine itaingia kichwachwa na kuwaunga mkono hizi kampuni ambazo hazitazami maslahi ya Mtanzania zaidi ya bishara yao tu.
We mama bora unyamaze kama huna la kusema wengine tunazisotea sana pesa masaa mengi na hatuna biashara za sembe wala kuvuliwa ch.up.i ili kulipia kodi ya kunufaisha walio na akaunti uswiss

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kodi siyo kubwa ila "DIRECT TAX" is always painful. Mbona kuna "INDIRECT TAX" - excise ya 14% hiyo hatulalamiki?

Mimi naamini kabisa watanzania hawapingi kodi,Ila Hii imetokana na serikali kufanya matumizi mabovu na ya anasa huku huduma muhimu za kijamii zikikosekana.Haya mambo ya kutafuta hela za uchaguzi kwa lazima sio mazuri.
 
Makampuni ya simu nayo yameshtuka kwani,huwa yanawapa simu na muda wa hewani wafanyakazi wake ,hivyo maana yake ,nayo yatalipa kodi hiii kwa ajili ya wafanyakazi wake.
 
Tatizo siyo laini 3, hapa ni mtanzania kutwishwa mzigo mkubwa wa gharama na kudhoofisha mawasiliano na uchumi kwa ujumla.
Familia nyingi za vijijini zitakatiwa mawasiliano hivyo kudhoofisha swala zima la maendeleo katika maeneo hayo kama afya, elimu, kilimo na ufugaji nk:target:
 
..TULIWEKE HILI SUALA VIZURI, NA TUSIBURUZWE TU. KWA UFAHAMU WANGU MIMI NI KWAMBA KODI YA MAPATO HUWA INATOZWA PALE AMBAPO KUNA KIPATO ( INCOME) IWE KWA NAMNA YOYOTE ISIPOKUWA KWENYE MASHIRIKA YALIYOSAMEHEWA KODI, SASA HAPA TUJIULIZE SWALI, HIYO KODI TUTAKAYOKUWA TUNAILIPA KILA MWEZI, JE NI KWA KIPATO KIPI TUNAKIPATA KWA KUWA NA ILE KADI TU? MAANA UTUMIE USITUMIE LAZIME UTOZWE HIYO KODI, JE NI KODI YA KUMILIKI LINE?

USAHIHI NI KWAMBA ILITAKIWA HIYO KODI ITOZWE MARA TU MTU ANAPONUNUA HIYO KADI YA SIMU, HII NI SAWA NA MTU ANUNUE BIDHAA ALAFU AILIPIE KODI KILA MWEZI (YAANI UNUNUE MFUKO WA SIMENTI LEO NA ULIPE KODI, ALAFU TENA BAADA YA MWEZI UULIPIE TENA KODI, SI UNAO), NADHANI HAPO HAKUNA UHALALI WOWOTE WA HIYO KODI, KAMA NI KODI YA MTU KUFANYA MAWASILIANO, MBONA HUWA TUNAILIPA PALE TUNAPONUNUA MUDA WA MAONGEZI KWA SABABU ILE VOCHA HUWA INAJUMUISHA VAT (kuna sehemu kwenye vocha pameandikwa VAT INCLUSIVE), MIMI NAAMINI TUKIWAULIZA HAWA TRA NA TCRA NI KITU GANI HASA KATIKA KADI YA SIMU TUNACHOKILIPIA KODI (KATI YAUMULIKI WA KADI NA KUTUMIA HIYO KADI) HAWATAKUWA NA JIBU SAHIHI.

MAANA UMILIKI WA KADI, KODI YAKE TUNAILIPA MARA TUNUNUAPO KADI, NA KAMA NI MATUMIZI YA KADI BASI KODI YAKE TUNAILIPA PALE TUNAPONUNUA HIYO VOCHA, MAANA KADI YA SIMU HAIWEZI TUMIKA KAMA HAINA MUDA WA HEWANI, LABDA UPIGIWE.

NA INAONEKANA TRA WENYEWE WAMESAHAU KUWA WANA SERA YA KWAMBA KODI ILIPWE PALE KUNAPOFANYIKA TRANSACTION, SASA HIYO TUTAKAYOILIPA KILA MWEZI NI KWA TRANSACTION GANI.

umefafanua vyema mkuu...hii serikali ya ccm ni sawa na mzazi mwizi anaewaibia watoto wake mwenyewe
 
Una habari za kizamani kweli, hiyo ilishapitwa na wakati siku nyingi. Cheza na Kikwete wewe? Kajisomee, inaonesha hata nchi yako huijui.

Elfu moja kwa mwezi inaemshinda kulipa basi asibebe simu.

Mnataka maendeleo kodi hamtaki kulipa?

hivi wewe unajua ata kitendo cha kununua vocha za kila siku tunakuwa tumelipa kodi ata tukinunua simu pia tumelipa kodi.
unalijua ilo. maana unaongea nikama watanzania awalipi kodi.
mim hiyo kodi ata ingekuwa million kwangu si tatizo ila naangalia watanzania wenzangu waliowengi ambao ni masikin sana.
Kumbe ndio maana Tanzania ni nchi ya 151 kati ya 156 kwa raia ambao wanaishi kwa furaha.
 
wanaenda kwa nia njema?? Ni kwasababu wanawapenda ama kuwahurumia watanzania?? Gharama za tozo za simu wameziangalia kwanza?? Na hii serikali ndio maana watu wanasema kiongozi wake ni dhaifu...Mengi/manji/lowasa akatwe 1000 sawa na juma wa kwamtogole ama mzee manywele wa sitimbi?
 
Siungi mkono kampuni za simu kuweka pingamizi,wao ni wakusanyaji tu wa hii kodi iweje leo wawahurumie wateja wa simu waliozoea kukuibia!!
Great Thinkers nataka mjue siri iliyojificha hapo,kampuni za simu zimekuwa wakwepaji wakubwa wa kodi na sasa imefika mwisho wao,serikali itakuweka system mpya ya kupata kodi na hivyo kampuni hizi hazitaweza kuweka kodi kama waliozoea.
Tusikubali kudanganyika,tulipe hiyo kodi na tuibane serikali katika matumizi yake.
 
Serikali yetu ni ovyo haiwezekani kutoza kila sim card 1000 bila kuangalia matumizi wakati waofisa wa serikalini kila mwenzi wapewa airtime si chini ya laki moja sasa huyo akikatwa hiyo buku hata umia ila mimi ninae weka 500 kwa siku mbili au tatu wakinikata nitalalamika mpaka basi.

Muuza karanga wa mtaani akatwe buku alafu waziri akatwe buku hakuna uwiano hata kidogo

2015 ifika haraka basi
 
..TULIWEKE HILI SUALA VIZURI, NA TUSIBURUZWE TU. KWA UFAHAMU WANGU MIMI NI KWAMBA KODI YA MAPATO HUWA INATOZWA PALE AMBAPO KUNA KIPATO ( INCOME) IWE KWA NAMNA YOYOTE ISIPOKUWA KWENYE MASHIRIKA YALIYOSAMEHEWA KODI, SASA HAPA TUJIULIZE SWALI, HIYO KODI TUTAKAYOKUWA TUNAILIPA KILA MWEZI, JE NI KWA KIPATO KIPI TUNAKIPATA KWA KUWA NA ILE KADI TU? MAANA UTUMIE USITUMIE LAZIME UTOZWE HIYO KODI, JE NI KODI YA KUMILIKI LINE?

USAHIHI NI KWAMBA ILITAKIWA HIYO KODI ITOZWE MARA TU MTU ANAPONUNUA HIYO KADI YA SIMU, HII NI SAWA NA MTU ANUNUE BIDHAA ALAFU AILIPIE KODI KILA MWEZI (YAANI UNUNUE MFUKO WA SIMENTI LEO NA ULIPE KODI, ALAFU TENA BAADA YA MWEZI UULIPIE TENA KODI, SI UNAO), NADHANI HAPO HAKUNA UHALALI WOWOTE WA HIYO KODI, KAMA NI KODI YA MTU KUFANYA MAWASILIANO, MBONA HUWA TUNAILIPA PALE TUNAPONUNUA MUDA WA MAONGEZI KWA SABABU ILE VOCHA HUWA INAJUMUISHA VAT (kuna sehemu kwenye vocha pameandikwa VAT INCLUSIVE), MIMI NAAMINI TUKIWAULIZA HAWA TRA NA TCRA NI KITU GANI HASA KATIKA KADI YA SIMU TUNACHOKILIPIA KODI (KATI YAUMULIKI WA KADI NA KUTUMIA HIYO KADI) HAWATAKUWA NA JIBU SAHIHI.

MAANA UMILIKI WA KADI, KODI YAKE TUNAILIPA MARA TUNUNUAPO KADI, NA KAMA NI MATUMIZI YA KADI BASI KODI YAKE TUNAILIPA PALE TUNAPONUNUA HIYO VOCHA, MAANA KADI YA SIMU HAIWEZI TUMIKA KAMA HAINA MUDA WA HEWANI, LABDA UPIGIWE.

NA INAONEKANA TRA WENYEWE WAMESAHAU KUWA WANA SERA YA KWAMBA KODI ILIPWE PALE KUNAPOFANYIKA TRANSACTION, SASA HIYO TUTAKAYOILIPA KILA MWEZI NI KWA TRANSACTION GANI.

Mkuu wala usiumize sana kichwa. Haya yote waliyoleta hii kodi wanayafahamu. Ninachoona mimi hapa ni kwamba wameamua kurejesha kodi ya kichwa (aka kodi ya maendeleo) kwa mlango wa nyuma, iliyofutwa wakati wa mzee ruksa kwa sababu hizihizi ulizoandika hapa.
 
Nawashangaa Watanzania mnabeba simu tatu halafu mnakataa kulipia kodi.

Hii kodi iwepo na nnaikubali kwa roho kunjufu kabisa.

Na hizo kampuni za simu zitashindwa hii kesi na kila zitakavyochelewesha kuanza kukata hii kodi ndivyo tutalimbikiza kodi na tutaumia sisi zaidi na wao watajichotea humohumo. Ni wajanja tu hao.

Serikali iwaambie kama wanahuruma sana na wananchi wapunguze bei zao kufidia hii kodi.

Na Mitanzania ijinsi tulivyo mingine itaingia kichwachwa na kuwaunga mkono hizi kampuni ambazo hazitazami maslahi ya Mtanzania zaidi ya bishara yao tu.

Mimi sioni shida ya kodi hii lakini tatizo kodi hii haifuati "Canon of Taxation" inamuumiza mtu wa chini kuna wazee wapo vijijin wanamiliki simu lakini salio lake kwenye crediti haifiki hata mia tano sasa mtu kama huyu unategemea atoaje kodi wakat hata vocha kuweka kwake ni mtihani, usiangalie uwezo wako wewe angalia na wengine wenye kipato cha chini, kodi hii ilipaswa kuwa progressive na si proportional kama ilivyo kwa sasa.
 
Back
Top Bottom