Kodi ya simu yapingwa rasmi mahakamani

Kodi ya simu yapingwa rasmi mahakamani

Nawashangaa Watanzania mnabeba simu tatu halafu mnakataa kulipia kodi.

Hii kodi iwepo na nnaikubali kwa roho kunjufu kabisa.

Na hizo kampuni za simu zitashindwa hii kesi na kila zitakavyochelewesha kuanza kukata hii kodi ndivyo tutalimbikiza kodi na tutaumia sisi zaidi na wao watajichotea humohumo. Ni wajanja tu hao.

Serikali iwaambie kama wanahuruma sana na wananchi wapunguze bei zao kufidia hii kodi.

Na Mitanzania ijinsi tulivyo mingine itaingia kichwachwa na kuwaunga mkono hizi kampuni ambazo hazitazami maslahi ya Mtanzania zaidi ya bishara yao tu.

hahahahaa...hizi kampuni siyo public corporations ni kampuni za biashara...so maslahi yao kwanza kama wakiangalia maslahi ya mtanzania watafirisika....mi naona serikali ndo inapaswa kuangalia maslahi ya watu wake zaidi ya makampuni ya wafanya biashara...serikali ilipaswa kujua hali ya watu wake kwanza na si jukumu la makampuni..kukurupuka tu....
 
Back
Top Bottom