Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Hivi kwa nini tusiondoe kodi on Solar panels na Wind turbines au tuseme chochote kinachosadia kwenye masuala ya alternative energy?
Tumeweza kufanya hivyo on ma trekta na sioni sababu kwa nini watu waingie gharama za majenereta wakati jua na upepo tunao wakutosha
Tazama hawa jamaa Abu dhabi wameamua kujenga mji mzima ambo utakuwa eco friendly na utatumia jua na wind energy...ndio tuna ufisadi lakini the least we can do ni serikali iwawezeshe watu kuweka hizi sources za energy na nishafika vijijini nikaona how it changes peoples lives ...sioni sababu ya kununua solar panel ya milioni 5 pale REX wakati wao same pannels wamenuua laki 3 kule China watu wawezeshwe then tuone kama watashindwa
http://www.smithgill.com/MasdarHeadquarters.htm
PROJECT ANIMATION:
http://www.smithgill.com/Flash/video4.html

Last edited: