Kodi kwenye Solar panels & Wind Turbines

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
833
Hivi kwa nini tusiondoe kodi on Solar panels na Wind turbines au tuseme chochote kinachosadia kwenye masuala ya alternative energy?

Tumeweza kufanya hivyo on ma trekta na sioni sababu kwa nini watu waingie gharama za majenereta wakati jua na upepo tunao wakutosha

Tazama hawa jamaa Abu dhabi wameamua kujenga mji mzima ambo utakuwa eco friendly na utatumia jua na wind energy...ndio tuna ufisadi lakini the least we can do ni serikali iwawezeshe watu kuweka hizi sources za energy na nishafika vijijini nikaona how it changes peoples lives ...sioni sababu ya kununua solar panel ya milioni 5 pale REX wakati wao same pannels wamenuua laki 3 kule China watu wawezeshwe then tuone kama watashindwa

http://www.smithgill.com/MasdarHeadquarters.htm

PROJECT ANIMATION:
http://www.smithgill.com/Flash/video4.html

imresolt031id5.jpg
imresolt042fx4.jpg
imresolt053oo5.jpg
imresolt059ew0.jpg
imresolt060ru0.jpg
imresolt061vj5.jpg

InAction.jpg
 
Last edited:
Labda tukijiunga na jumuia ya kiislam basi jamaa hao watatupatia misaada ya kujenga kama wao. Wewe unasemaje?
 
...Duh!! GT kazi unayo maana naona members humu jamvini wana-connect kila kitu na.......

Haya yote kayaanzisha mwenyewe GT, anajua anachokifanya na anajaribu kwa kila njia kukifanikisha. Tatizo lake ni kuwa: mpango wake wa kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya kiislam ni dead on arrival.
 
GT,
You get what you pay for. Afadhali ninunue za millioni tano zenye guarantee badala ya laki tatu za Kichina ambazo zinaweza kuzimika baada ya miezi miwili.
 
Mkuu GT heshima mbele,

Nimefurahi sana kwahii post maana nafikiri ni changamoto sana hasa kwa huu umeme wetu wa kimulimuli wa TANESCO. Cha msingi tuu ambayo nataka kuweka baya nijuavyo mimi na nimeshawahi kufanya SOLAR PANELS hazina kodi ila sasa sijajua tuu kwa Wind Turbines
 
Labda tukijiunga na jumuia ya kiislam basi jamaa hao watatupatia misaada ya kujenga kama wao. Wewe unasemaje?

Kidogo uwe makini kaka.Jamaa kaongea jambo la msingi.

Huo ni mfano tu kutoka katika vyanzo vyake,wewe unarukia mambo ya kujiunga na Jumuia ya kiislamu.

Naweza kukuelewa kama utakua na bifu na mtoa hoja.
 
GT,

Nobody in power is commited to the use of alternative energy.I doubt they even seriously understand this as a paradigm shift in the world's economy.

As far as I am concerned, they are extremely suspicious of anything that gives "power to the people", in this instance literally speaking.

How else will they get their Dowans cut?
 
GT, it is a good proposal. Wenzetu wamarekani wameanza kutafuta umeme mbadala. Tatizo kwetu 'mambo ya ulaji' na 10% na wadau wa sasa wa umeme sijui kama watakakubali kuiachia 'mlo wa simba'.
 
Mkuu GT heshima mbele,

Nimefurahi sana kwahii post maana nafikiri ni changamoto sana hasa kwa huu umeme wetu wa kimulimuli wa TANESCO. Cha msingi tuu ambayo nataka kuweka baya nijuavyo mimi na nimeshawahi kufanya SOLAR PANELS hazina kodi ila sasa sijajua tuu kwa Wind Turbines

mkuu umeshawahi kuweka wewe binafsi ili utupe walau mchanganuo wa gharama zake hasa kwa sasa hivi ni kiasi gani, kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani?
 
house_wind_turbines_1.jpg

tatizo langu ni kuwa REX wamekuwa so expensive....halafu ukilinganisha n a wind turbine nadhani kumaintain hizi solar ni gharama kubwa wakati turbine moja kwa ajili ya nyumba ni less expensive kumaintain japo ni gharama kiasi wakati wa kununua...lakini ni one off na hakuna longolongo la baadae...something kama hicho hapo juu
 
Kidogo uwe makini kaka.Jamaa kaongea jambo la msingi.

Huo ni mfano tu kutoka katika vyanzo vyake,wewe unarukia mambo ya kujiunga na Jumuia ya kiislamu.

Naweza kukuelewa kama utakua na bifu na mtoa hoja.

Wewe unataka ugomvi na GT? yaani mambo ya kujiunga na jumuia ya kiislam ili Tanzania ipate misaada toka kwa waislam sio ya msingi? Subiri pacha wa GT - kanda2 na Alwatan wakikusikia.
 
Hivi hatuna agency inayoshughulikia renewable energy in the concerned ministry? Kama wapo why we do not see them in action, at least to educate people on the advantage of using renewable energy so that they can capitalize!!!
 
Mkuu si ajabu wapo busy kuhakikisha majenereta yananunuliwa! si unajua kufa kufaana!
 
Hivi hatuna agency inayoshughulikia renewable energy in the concerned ministry? Kama wapo why we do not see them in action, at least to educate people on the advantage of using renewable energy so that they can capitalize!!!

wapo pale wizara ya nishati...kuna mheshimiwa mmoja anaitwa Engineer Bengiel H. Msofe...mtu mmoja makini sana

huwezi kuwalaumu hawa kwa sababu hatuna hiyo Alternative Energy Policy kama vile ambavyo rais hana website ya mambo kama haya..hivyo hata kama ipo policy then inabidi mtu a hustle chini kwa chini ndio aipate

Inasikitisha sana kwa kweli

Unajua kuna jamaa nadhani zamani walikuwa Sido waliamua kuanzisha smal scale business kutengeneza hiyo mapanga ya wind turbine ndogo ndogo..lakini of course serikali yetu haikutaka kuwaendeleza jamaa wameishia kuzuga tuu mjini

Wakati huo huo wenzetu (hata sijui kama inafaa kuwaita wenzetu) kule Kenya wao waliamua kuipeleka JUA KALI into another level

Tazama WEBSITE ya wizara ya NISHATI YA KENYA na ipo policy kuhusu mambo haya:

Ministry of Energy - Renewable Energy department

Of course sisi as usual ni Ma JOCKERS na hii inasababishwa na waziri mkuu ambaye pia HANA WEBSITE....TAZAMA HAPA:

Tanzania National website
 
mkuu, sahihisho kidogo hapo, waziri mkuu ana website, actually nzuri kuliko ya ikulu and the likes

hebu angalia HAPA
 
mkuu, sahihisho kidogo hapo, waziri mkuu ana website, actually nzuri kuliko ya ikulu and the likes

hebu angalia HAPA

Ha ha ha ha Kaizer,

Unataka kumtetea mkatoliki? huna habari kuwa mabaya yote ya Tanzania yameletwa na wakatoliki (kwa mujibu wa Game Theory na mafundamentalist wenzake hapa jamvini)?
 
Ha ha ha ha Kaizer,

Unataka kumtetea mkatoliki? huna habari kuwa mabaya yote ya Tanzania yameletwa na wakatoliki (kwa mujibu wa Game Theory na mafundamentalist wenzake hapa jamvini)?

Hahahaha, mkuu Mwafrika, actually wakati naquote hiyo post wala sikujua kama ilikuwa ya mkulu GT, I mean nisingetemea mtu mwenye kuonyesha kuwa na info nyingi ivo ashindwe kuijua website ya PM wetu...huko kwenye udini sipo, mi suala la kuweka rekodi sawa tu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom