Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,212
- 6,972
Yani tuko nyuma kweli esp E&C.A yani biggest Solar plant is 55MW wakati jua linatupiga 90% ya mwaka...
anyway, baada ya Kenya kujenga largest wind firm in Africa, na pia kuwa na largest geothermal energy in Africa... sasa tunatafuta nguvu za jua ...hii inadhihirisha kua tuko mbioni kutumia kila njia kuzalisha umeme ili kupunguza kutegemea mtindo mmoja wa kuzalisha umeme
55 MW (74,000 hp)
Location
The power station will be located in Garissa Countyabout 20 kilometres (12 mi), north of the town of Garissa. This is approximately 385 kilometres (239 mi) by road, north-east of Nairobi, the country's capital and largest city.
Overview
The solar farm will sit on 85 hectares (210 acres) and consist of 200,200 solar panels and is expected to be the largest in East and Central Africa. It is expected to create about 1,000 jobs during the construction period. The power from this power station is enough to power about 625,000 homes.
The power station will be owned and operated by Kenya Rural Electrification Authority, a government of Kenya agency. The power generated will be sold to Kenya Power and Lighting for integration into the national grid
Ijulikane kati ya developing/emerging economies, ni Kenya ndo imechukua mda mfupi zaidi kupatia wananchi wake umeme, by mid 2015, tulikua tumetoka 26% hadi 46% na kulingana na projection hio hio tulikua tutafika beyond 60% kwa miaka michache zaidi