Bila kumsahau Baleke.
Baada ya mechi wakati Shabalala na Kapombe wanalia, Baleke alikuwa anashangilia na kurukaruka huku ameshikana mikono na wakongo wenzake wa Yanga.
Toka siku hiyo Baleke hajacheza hata mechi moja hadi anaondoka, na kama kawaida yao Yanga wakamchukua ili kulipa fadhila
Yanga ni timu nzuri ila haijiamini na inatumia sana njia za hila:
We angalia pamoja na ubora wao mechi nyingi wanapitia milango ya vyooni.
Hata wakicheza na timu ndogo kama Geita wanaruka ukuta baada ya kuingia mlango halali.
Juzi Kipa kawauzia mechi kwa mujibu wa kocha wa timu ya Singida: