GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,006
- 126,388
Nimeona comments za kumkejeli Ibenge baada ya mechi ya kirafiki Azam FC kufungwa 2-1 na JKT. TZ hadi mechi za kirafiki Wadau wanakaza fuvuNafikiri haikuwa wakati SAHIHI ibenge KUJA bongo, SAWA ANAWEZA FANYA VIZURI, ila kwa kujipanga hasa NJE ndani. Figisu ni nyingi. Ataondoka mwenyewe tu kama chibonge WA simba aliesingizia ana mgonjwa. Bongo bado hatujajitambua
Full stop, kwishaaaa
Mkuu ndo shida ya ustar ilipo, ibenge akizubaa watu watamtoa kwenye reli na atapanic sana. Azam IPO kifamilia pia, hivo ibenge KUPATA WATU wakumkingia kifua ni NGUMU SABABU wanafamilia hawawezi kosana KISA MTU WA nje. Hivo apambane hasaNimeona comments za kumkejeli Ibenge baada ya mechi ya kirafiki Azam FC kufungwa 2-1 na JKT. TZ hadi mechi za kirafiki Wadau wanakaza fuvu
Hilo sio utetezi wa Azam kushindwa kufanya vizuri chini ya Ibenge, kama mpira wa bongo figisu na michezo michafu mingi inayofanywa na Simba na Yanga basi akafanye vizuri kwenye kombe la shirikisho CAF hata kwa kucheza robo fainali.Nafikiri haikuwa wakati SAHIHI ibenge KUJA bongo, SAWA ANAWEZA FANYA VIZURI, ila kwa kujipanga hasa NJE ndani. Figisu ni nyingi. Ataondoka mwenyewe tu kama chibonge WA simba aliesingizia ana mgonjwa. Bongo bado hatujajitambua
Full stop, kwishaaaa
HAPO sina shaka nae KWENYE mechi za kimataifa atafanya VIZURI HIZI sajili za mwisho zime fufua matumaini SANA kwa ibenge KAZI ni KWAKE TU SEMA Aishi MANULA ajipange hasa yule kipa aliesajiliwa ni balaaa zitoooooHilo sio utetezi wa Azam kushindwa kufanya vizuri chini ya Ibenge, kama mpira wa bongo figisu na michezo michafu mingi inayofanywa na Simba na Yanga basi akafanye vizuri kwenye kombe la shirikisho CAF hata kwa kucheza robo fainali.