Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Mziki wake sio simba,Faru John ita utakavyo wanamuachia himaya wanatimka....binadam ukikazingua kama mwanaume kanakimbilia haya maeneo yakutafutia heshima nyumbani.hakafai aisee huyu koboko kanamla kuanzia kichwani pamoja na sumu zake zote.
ddb98a69f0cb6d99d2b2a534ab4ccbd3.jpg
hapa akimalizana na nyoka,
81b8ac246c746bca4efffa02101629e4.jpg
status yake hatari sana.

 
Hawa wapo sana Misitu ya Manyoni specifically Itigi yote yaani huku kama zizi lao. Watu wanatwangwa na kufa daily
 
Ana uwezo wa kusikia na kuona mbali na anapenda changamoto so akikuona anakufuata kuku-challenge sasa hana kiasi akifika anakugonga anaondoka,wahanga wakubwa wa Koboko ni wafugaji na mifugo yenyewe.ila Mungu anatukinga hawakai sehemu isiyo na misitu mikubwa ndiyo maana sio rahisi kuwaona ila kuna wakati wanafika kwenye makazi ya watu hasa zile sehemu zenye mf:miwa&mikahawa na humu hufuata panya.
Na hupenda sana kula bangi walipopanda ganja kama ni porini Tegemea kuwakuta.
Pia huku misitu ya Itigi-Manyoni wengi sana na wanauwa watu mno.
Mnapotaja janga la njaa ongezeni na janga la mauaji ya koboko Manyoni-Itigi.
 
Brow endrew nyerere according to your post #55 nyoka(Python)anajua ndiyo wewe ni hatari ila wakati huo huo ndo chakula chake so hawezi kukuogopa anacheza pata potea akuotee umuotee ndo maana anapo-attack huwa anatumia vurugu zote pamoja na kumtisha aliyemkusudia!
 
Dah.. Siyo kwa mambas... Uamuzi wa kwanza wa black mamba akikutana na binadamu ni kutimua mbio.... Labda awe amebanwa kwenye kona....na hutoa sauti ya kufoka kabla hajashambulia...ukweli bado unabakia. . Binadamu ndiyo kiumbe Hatari kuliko vyote
Mkuu Rohombaya labda kama unawazungumiza hawa
cd6e1baa26baeec1760994b798cb03cf.jpg
56ed4d7c1c2b460aedb9b002e503a6ab.jpg
ila sio huyu
d9ee682bae4ad03f21faa43ccd9f98d3.jpg
kwa kimo hiki ana uwezo wakukugonga usoni
cf7e3505fa0da65d4037c182952cfcc9.jpg
na kwa pigo hili mkuu kama upo Magomeni na amekujeruhi Muhimbili unaweza usifike na hata ukifika dk hamalizi kukuandikia dose tulio nje tutakuwa tunaongea mengine
d7eb919de8bb48d4f437962e501f31d8.jpg
huyu akikuona anakuzuia njia ukikimbia anakukimbiza kitakachofuata ukipona utegemee miujiza.
 
Sio huyo mkuu,mwenyewe ni mweusi tii
Black Mamba siyo mweusi kabisa....

Kinachofanya aitwe Black Mambo ni weusi ulio ndani ya mdomo wake...

Ukiona nyoka mweusi ila ndani ya mdomo si mweusi jua huyo si black Mamba
 
Green mamba na Bkack Mamba wanatofautiana kitu kimoja.Black Mamba mara nyingi huwa shy na huepuka migongano /confrontation na binadamu na viumbe vyengine na hivyo hutokea mara chache kugonga mtu wakati Green Mamba wao ni wepesi katika kupambana/kuwa na confrontation na binadamu
Umeongea kinyume
 
Huyo nyoka hatar san, kwan endapo unaendesha gari hasa lenye uwazi chini, anaweza kudandia huku nyie mkijua labda mshamkanyaga, sasa kivumbi kitakuwa hapo mtakaposhuka ndipo kasheshe inapoanzia, just imagine gari imesimamisha mjini au mpo kwenye foleni, ujue unaacha hekaheka nje
 
Back
Top Bottom