Kwa kosa lipi?
Kwa kosa la kuwapoteza Uporoto na Kabakabana
Mmh, gashi uli munhu?
Tulihoyi, nali Ngulyati onene.
Kwa kosa la kuwapoteza Uporoto na Kabakabana
Mshangao, mshangao, mshangao.
Hahah kongosho umeniacha mbali....Hivi nayanga si ni wahaya? wasukuma hawasemagi nalema?? hata sijui jamani nshasahau lugha hizi
Eh.........tangu lini shemeji yangu kawa muhalifu? RR naomba ufafanuzi tafadhali
Hapo umechapia...hi hi hi..wenyewe wanasema nalemaga nkoi/gheteghete!.Yegomasika .............Ishiii!! Bhebhe ang'u......... nayanga gheteghete!
kongosho umeona eh mpenzi........yaani hawa watu wamepotea na ladha ya JF mapenzi na mahusiano na chit chat
Afu jamani Golden Mpolee hajafunga shule bado?? Nimemiii!!
Hapo umechapia...hi hi hi..wenyewe wanasema nalemaga nkoi/gheteghete!.
Yegomasika Yaenda ndo wapi? Mie mnyantuzu wa Bariadi sielewi!!
Hata mie nimemiss fellow table naye mmmhh
dela ghawiza mayo!
Badili Tabia hahahahah nimechekaje, haya bana nimemiss vituko vyake...................... anavyonshushuaga
Hata Bubu Ataka Kusema (BAK) naye kapotea............