dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,956
- 9,482
Huu ni ukweli mweupe kabisa ndugu umeusema hivi vijiwe vya mtaani wenyewe wanaita makanisa ni waLutheri tupu hata waumini wa hayo makanisa.... waKathoric ni wachqche sanaHii ndio tofauti kubwa ya ma padri wa Katoliki, Katoliki ni utii na nidhamu kwanza ndipo ije ibada, sisi Katoliki tuna mpaka jela za kiaina!, kama alivyo fungwa Archbishop Milingo wa Zambia, aliitwa Vatican akatulizwa!. Ukikatazwa kitu na askofu wako usipotii unafukuzwa kama Padri Dr. Wilbroad Slaa, Felician Nkwera na Kalugendo. Wengi wa wachungaji wenye makanisa yao ni Walutheri, Wakatoliki ni wa kuhesabu!.
P
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app