Kizungumkuti.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kizungumkuti....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mzawahalisi, Feb 16, 2012.

 1. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Hivi wadau naomba tulijadili hili, kuwa na mpenzi mmoja umpendaye na umwamini ama kuwa mpita njia, yaani ''hit n run philosophy''
  Mafundisho ya taasisi mbalimbali yanatuambia kuwa na mpenzi mmoja na mwaminifu ni vyema na itatulinda dhidi ya maambukizi ya ukimwi. Ukija upande wa pili yaani elimu mitaani.com wanatuambia ni bora kuwa mtu hit nrun kwani huto mwamini mtu, hivyo kuwa makini wakati wote na kujilinda kila mara.
   
 2. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sasa tunajadili nini hapa?
   
 3. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kila moja faida na hasara...sasa wewe pima na uone ipi inakufaa wewe. mie penda hit n run maana nina wivu kupitiliza hivyo nikiwa katika relation nitakuwa na mawazo sanaaa
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mzawahalisi................akili kumkichwa....za kwako plus za mbayuwayu!
   
 5. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  we unataka mafundisho ya taasisi mbali mbali au ya mitaani.com? Nafikiri jibu unalo!
   
 6. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Mhhhh, no strait cut answer. Hamna aliye tayari kudefend moja kwa moja upande mmoja. Right now ninaye mmoja tu ninaye mwamini, but sometimes nakumbuka kuwa mwanadamu hatabiriki, inawezekana akazidiwa ujanja akatembea na mtu mwingine na ni wazi kuwa hawezi kuja niambia hvyo atanificha na inawezekana akaniweka katika hali hatarishi. Life is so chalenging.
  Actualy maisha halisi siyo kama nilivyo ya conceive kichwani, '' the perfect life'' does not exist in this world.
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  meaning????????
  Ukipigwa kanzu unatulia tu.
   
 8. data

  data JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,801
  Likes Received: 6,582
  Trophy Points: 280
  ."hit n run philosophy".. According to who?
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Ukikua utagundua kuna wakati unafika u can't hit as hard, neither can u run as fast as u used to. Sasa utaishia kuhit na kurun na dhaifu chenzio.
   
Loading...