Sheria ya Mke mmoja,Maoni tafadhali

lindunduru

JF-Expert Member
Aug 2, 2015
392
551
Za leo wakuu,

Nafikiria kupeleka hoja binafsi bungeni, ili kwa pamoja Bunge liazimie na hatimaye kuwe na sheria ya mke mmoja tu.

Sababu ni
1. Kupunguza maambukizi ya virus vya UKIMWI
2. Kupunguza idadi ya watoto wa mtaani, kwa kuwa akina baba wengi wakienda nje ni hit and run
3. Kufanya taifa liwe na Watu wenye furaha,wake za watu wengi huishi kwa masononeko kwa waume zao kuchepuka
4. Kukuza Uchumi wa familia kwa kuwa wanaume wengi wanamaliza hela kuhonga masulia(concubines)

NB Watakaoruhusiwa kuoa zaidi ya mmoja kwa mujibu wa dini, wafuatiliwe ili wasiende kinyume na mafundisho ya dini.

Nawasilisha
 
Tuache bana
 
Na wale wasio na waume watajikabilishaje ubinadamu wao? Uwen na majibu kwa hili swali kabla ya kwena huko
 
Back
Top Bottom