TaahiraJana kwenye pita pita yangu nilikutana na Mjumbe mmoja wa Bodi ya Tanesco. Katika maongezi nae nilimuulizia kuhusu suala la Dowans. Kwenye maelezo yake ni kuwa malipo ya Dowans ni halali kabisa, kwani wanacho kidai ni gharama za umeme ambao wao walizalisha na hawakuwahi kulipwa na Tanesco mpaka mkataba pale ulipo vunjwa.
Kwa maana hiyo basi, wanadai hela yao halali kabisa ambayo umeme ulizalishwa na mie na wewe tuliutumia. Sasa hapo malipo ambayo sio halali ni yepi ? au tuna nia ya kudhulumu haki za watu ?.
Na kuhusu hukumu ya mahakama ya ICC wao vitu walivyo uliza ni vichache tu, kama mitambo ipo wapi ? ilizalisha umeme au haikuzalisha ? huko nyuma walikuwa wanawalipa au hawakuwalipa? Mkataba ulivunjwa kabla ya muda ?. Majibu ya maswali yote hayo ni ndio, ndipo mahakama ikatoa huku ya Dowans kulipwa haki yao kwa kile walichotuzalishia na kukitumia.
Kumbe inawezekana kutunga ka-stori ili kaendane na mtazamo wako eeh? Nilikuwa sijui hiyo...
Ndg Che, hawa watu ni very sophisticated wanajalibu kuhararisha wizi wao. These guys can be every where; JF, Mwananchi, Mtanzania Daima, yaani kwenye media zote. Ili mradi waharalishe ukwapuaji wao. Lakini tumeisha sema Watanzania wa sasa hatudanganyiki!!!!!!!!!!!!! Hata muweke post ngapi kwenye blogs, media, sisi tumeisha wastukia. Kwanza offisi za Dowans ziko wapi hapa bongo??? Zilianza kufanya kazi lini????Na huyo manager mkuu wa Dowans ni nani, si ajitokeze jamani!!!!!!!!! Kwa nini Watanzania tuibiwe hivi hivi kimacho macho. Mziki huu ni bora upelekwe bungeni kwa watunga sheria wetu. Achana na Genius Brain chakachua, tupo macho ndugu!!!!!!!!!!
Abdulhalim Taahira (Tunashukuru kwa taarifa)
Bravo, kwa kukubali dowans walipwe
Wewe kimakweli ni Malalia Sugu, umeibukia hoja ya Dowans. Hivi unalipwa kiasi gani na hao SISIEM Pamoja RA. Umekomalia hayo malipo bila kujali ndugu zako wa kule Kanyenye, sijui Mtipula, au Mswaki wako hali gani kiuchumi. Kawaambie hao matajiri zako wawe na huruma kwa ndugu zako. La sivyo hawataki kusikia basi tukutane bungeni na watunga sheria wetu; Kwa vile mnaweza kutuzidi wingi, basi tukutane 2015 ingawa tutakuwa tumechoka.Nimewaambia kile ambacho ni ukweli, walipwe dowans pesa zao kwani ni halali yao kwa umeme wao walio tuzalishia na tukautumia
Thanks Jasusi this is the very Guy Malaria Sugu. Umengundua ni yeye ntiririko wa post zake ndio huo huo. Basi awaambie mabwana zake kuwa HIYO DOWANS HATUILIPI NGO!!!!!!!!!!!!!!JF, home of great thinkers. There once a time was a great thinker called Malaria Sugu. He died and on the third day he rose again with a genius brain.
yaani ukamsikia huyo member wa bodi ukaamini moja kwa moja? kwa taarifa yako na huyo member feki wa bodi, pesa wanayodai walizalisha umeme ni takribani 25 mil dola hajakwambia imefikaje hiyo bil 94 na ushehe! hata kama ni "halali" tunamlipa nani? kwa kipindi chote walichoacha mitambo yao pale kwenye kiwanja cha tanesco kodi ya pango kakwambia ni sh ngapi? je imelipwa? kuna maswali mengi hayajajibiwa !Jana kwenye pita pita yangu nilikutana na Mjumbe mmoja wa Bodi ya Tanesco. Katika maongezi nae nilimuulizia kuhusu suala la Dowans. Kwenye maelezo yake ni kuwa malipo ya Dowans ni halali kabisa, kwani wanacho kidai ni gharama za umeme ambao wao walizalisha na hawakuwahi kulipwa na Tanesco mpaka mkataba pale ulipo vunjwa.
Kwa maana hiyo basi, wanadai hela yao halali kabisa ambayo umeme ulizalishwa na mie na wewe tuliutumia. Sasa hapo malipo ambayo sio halali ni yepi ? au tuna nia ya kudhulumu haki za watu ?.
Na kuhusu hukumu ya mahakama ya ICC wao vitu walivyo uliza ni vichache tu, kama mitambo ipo wapi ? ilizalisha umeme au haikuzalisha ? huko nyuma walikuwa wanawalipa au hawakuwalipa? Mkataba ulivunjwa kabla ya muda ?. Majibu ya maswali yote hayo ni ndio, ndipo mahakama ikatoa huku ya Dowans kulipwa haki yao kwa kile walichotuzalishia na kukitumia.
Ngoja nikamuulize mwalimu wangu wa Lugha.Majibu ya maswali yote hayo ni ndio. Mitambo ipo wapi? NDIO TANZANIA
Ilizalisha umeme haikuzalisha? NDIO ILIZALISHA
Huko nyuma walikuwa wanawalipa au hawakuwalipa? NDIO WALIKUWA WANALIPWA
Mkataba ulivunjwa kabla ya muda? NDIO ULIVUNJWA
Hii ndio home of great thinkers, tafakari kabla hujajibu wewe
Kumbe huyu jamaa ni ubwabwa namna hii hajui hata kesi inayoongelewa, kama mtu hujui kitu bora kukaa kimya kuliko kuonyesha umbumbumbu wako hadharani.Jana kwenye pita pita yangu nilikutana na Mjumbe mmoja wa Bodi ya Tanesco. Katika maongezi nae nilimuulizia kuhusu suala la Dowans. Kwenye maelezo yake ni kuwa malipo ya Dowans ni halali kabisa, kwani wanacho kidai ni gharama za umeme ambao wao walizalisha na hawakuwahi kulipwa na Tanesco mpaka mkataba pale ulipo vunjwa.
Kwa maana hiyo basi, wanadai hela yao halali kabisa ambayo umeme ulizalishwa na mie na wewe tuliutumia. Sasa hapo malipo ambayo sio halali ni yepi ? au tuna nia ya kudhulumu haki za watu ?.
Na kuhusu hukumu ya mahakama ya ICC wao vitu walivyo uliza ni vichache tu, kama mitambo ipo wapi ? ilizalisha umeme au haikuzalisha ? huko nyuma walikuwa wanawalipa au hawakuwalipa? Mkataba ulivunjwa kabla ya muda ?. Majibu ya maswali yote hayo ni ndio, ndipo mahakama ikatoa huku ya Dowans kulipwa haki yao kwa kile walichotuzalishia na kukitumia.
1. Tender process ilivyokuwa