Kizungumkuti cha ndoa!

mtambuzi hili umenena, ingawa pamoja kuwa naenda nje ya mada kuna familia baba akitangulia mama na watoto imekula kwao, unless kuwe na mama imara wa kutetea haki zake

Hii nayo ni kweli 100%!
 
kama ni mwanaume, unamwacha anafanya maamuzi, na kadi za benk na passwedi unampa lakini hivi vivulana vilivyojaa mjini, wala hata hukishirikishi, unakifanya kama kitoto cha kufikia kula kulala.

mmmh! Hapa patamu. Ila makubaliano yenu.
 
kama ni mwanaume, unamwacha anafanya maamuzi, na kadi za benk na passwedi unampa lakini hivi vivulana vilivyojaa mjini, wala hata hukishirikishi, unakifanya kama kitoto cha kufikia kula kulala.

Hii nayo ni kali asee!Wanawake bana kumbe mnajivinjari hata na vivulana!
 
ktk maisha ya ndoa ukianza kuweka tofauti za mali kati ya mume na mke,ndio matatizo yanapoanziaga hapo. Ni kweli mwanaume ni kichwa cha nyumba lakini hii haimaanishi ndio kuwa muamuzi wa mwisho ktk mambo fulani. Mumu na mke wanapaswa kujadili kwa pamoja kwa upendo na kwa manufaa ya wote. Kuwa kichwa msikutafsiri vibaya jamani
 
Hapo kwenye red, then nani ni mwamuzi wa mwisho katika hayo "mambo fulani"? Kwa hiyo mume anaweza kuwa mwamuzi wa mwisho kwenye nyumba provided kuwa anayoyatolea maamuzi sio "mambo fulani"? Hayo "mambo fulani" ni yapi??

Hapo kwenye blue, kwako kujadiliana na kutoa maamuzi ni kitu kimoja?
 
Mh!Canta kama mjusi huwa fish,sijui atakua samaki wa aina gani,labda kamongo,na jamaa ni msabato sijui itakuaje!
 
Kaka mkubwa ODM unoana mjukuu wako anabana hapa......Itabidi tuandae convoy tukaongee naye vizuri, si unajua vizuri gharama lol (Canta hebu fanya mambo bwana...Mimi roho mtaka vitu ashanidondokea hapa)
Haaa haaa haaa,
Ongea na babu vizuri,ila user name yako inajieleza haaa haaa!
 
Mh!Canta kama mjusi huwa fish,sijui atakua samaki wa aina gani,labda kamongo,na jamaa ni msabato sijui itakuaje!
Haaa haaa haaaa,
Itabidi achague moja,kula au kuacha lol!
Ila ulishasoma user name yake vizuri na ukaitafsiri?
 
Haaa haaa haaa!
Dah!umenichekesha sana lol!

Yeye si kazoea wa kwenye Facebook,unaingiza voko kidogo tu,mara namba ya simu inakuja.Hujakaa vizuri anataka kuja kukusalimia,akija unamega.Yani kule ni fasta fasta!
 
Haaa haaa haaa,
Ongea na babu vizuri,ila user name yako inajieleza haaa haaa!
Hiyo username ndiyo mpango mzima, wewe unataka mwanaume wa aina..........(Nishapita kote, kwako ndio nafunga breki, yaani you know you are offered a chance to rule kingdom of my heart. Hapa lazima kieleweke)
 
Back
Top Bottom