Sasa kama mtu anatoa hela au ng'ombe 40 kwa ajili yako si anakumiliki kama alivyonunua gari au gagulo?
mwanaume ndisho mwisho wa safari ila mwanamke anaweza kumshauri kabla ya kufanya maamuzi yoyote yale..
Mkuu kama ulivyosema hizi mahari nyingine tunazolipishana huku mitaani ni kama umenunua mtu tu.My be,..May be,may be not,i just wanna know your thought on this!