Jamani mimi sikatai kuwa wanaume ni viongozi wa familia ,tatizo wengi ni wabinafsi saana na wanafanya maamuzi mabaya na yenye madhara kwa famia ,kwa mfano mimi niliolewa na mume tulieanza nae maisha kwa pamoja hatuna chochote baada ya kuchanganya mshahara wangu na wake tukafanya maendeleo mengi na tulipata watoto pia,baada ya miaka kumi mwenzangu akampenda mwanamke mwengine na kwa bahati mbaya au nzuri ndoa yetu ikavunjika na akanipa miezi miwili nitoke kwenye nyumba tuliyojenga ,kwa kweli sikukubali na ukawa ugomvi mkubwa wa kugombea mali na watoto ,je cantalisa upo hapo?
NAWASHAURI WANAWAKE MSIJIBWETEKE NA MUSIWAAMINI WANAUME 100% ,MALI ZAKO ZITAKUFAA WAKATI WA DHIKI USIMUACHE ACHEEZEE SHAURIANENI KWA WEMA NA AKITOA WAZO ZURI KUBALI LAKINI KUWA MAKINI NA HICHO MANACHOITA KICHWA CHA FAMILIA HATA KAMA NI MAAMUZI YA KUKUTESA NA WATOTO WAKO,BINAFSI NILIFIGHT FOR MY RIGHTS NA NASHUKURU MUNGU NILIFANIKIWA NA SIJATOKA NYUMBANI NI YY NDIE ALIEFUNGASHA ,NI MAONI TU UNAWEZA AMUA KUTIIIIII MBAKA UFIE HAPO BILA YA KICHWA CHA FAMILIA KUKUHURUMIA ,MBONA MENGI YANATOKEA KWENYE NDOA

Nimejiuliza wakati napitia uzi wa Cantalisia kuhusu jamaa alietoka nduki baada ya kugundua mpenzi wake ana mawe zaidi yake.Sasa swali linakuja,kwanza wanawake wanakubali kuwa mwanaume ni kichwa cha familia?(Kuwa kichwa kuna maana ya kutolea maamuzi ya mwisho jambo lolote linalohusu familia)kama wanakubali mwanaume ni kichwa kwa tafsiri hiyo,Je mwanamke anapoolewa akakutwa na mali aliyoichuma mwenyewe hii nayo itaingia katika usimamizi na maamuzi ya mwisho ya mume?(hapa nazungumzia maamuzi chanya sio ya kufuja mali)Yaani mke hatakua tena na kauli ya mwisho na namna ya kuendesha mali hiyo kwa sababu mwanamke huyo tayari anamilikiwa na mume ama mali ya mwanamke haitamhusu mume?Jambo hili huenda ndio sababu ya ugumu wa kuoa mwanamke mwenye mali!