Kizazi kinavyoteketea

Kizazi kinavyoteketea

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1411542721625.jpg
 
Nguvu ya hii kitu katika kuteketeza si kubwa kama madawa ya kulevya na unywaji pombe!

Lakini umekuwa kama fasheni inayoenea kwa kasi mno !!! Sijui kama wataoleka hawa
 
Huko Uganda machangudoa wanalalamika soko lao limevamiwa na vijana wadogo wa kiume kuanzia miaka 15.....Vijana hao ambao wanakuja kwa kasi wanaonekana kupendwa sana na Madereva wa Malori..

Chanzo: BBC Swahili
 
endapo wanaume hamweleweki unategemea nini?

naona madem ndio hawaeleweki. Utamkuta anapanga waume 8 halafu kitaelewekaje. Tamaa nyiiingi hadi inaboa. Wengi wa Wanawake wa siku hizi wakipata mwanume anahisi amepata mgodi, asipoona halitokei anatafuta mwingine na mwisho wake ndio huku kusagana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom