Kizazi cha Ufisadi hakitaisha.....

Kizazi cha Ufisadi hakitaisha.....

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,777
Reaction score
8,075
IMG-20260921-WA0051.jpg
 
Kuna vitu vinatafakarisha Afrika hii

Baadhi ya nchi kwa mfano Rwanda wanasika sana kwamba wamefanikiwa kupambana na ufisadi na sifa nyingi anapewa Rais wao Paul Kagame

Tatizo ni kwamba suala la kupambana na ufisadi halifundishwi na jamii kuanzia ngazi ya malezi ya watoto wakiwa wadogo majumbani kwetu na hata katika shule zetu ili kujenga utamaduni wa uadilifu

Inawezekana lwa mfano kweli Kagame anafanya vizuri lakini huoni kama kuna juhudi ua kurithisha tabia hiyo iwe utamaduni wa watu wake

Anawatayarisha watoto wake kuchikua madaraka baadae lakini unaona kua ni watoto waliolelewa malezi ya kifahari sana kiasi unajiuliza kama wanajua shida na mahitaji ya wananchi wao wa kawaida

Katika mazingira hayo kikundi hicho kikija kuendelea kung'ang'ania madaraka tena kwa kutumia rasilimali za nchi huwezi kushangaa
 
Kweli,kwa sababu wananchi hawachukii ufisadi bali wanawaonea wivu mafisadi,kuna viongozi waliopinga ufisadi walipopewa madaraka a.k.a kuingia jikoni wakapiga,pili nyakati za uchaguzi raia utasikia wanauliza wagombea, unatuachaje,tatu raia wanawabeza viongozi waadilifu wanaostaafu utumishi bila ukwasi.jamii inatengeneza mafisadi ama kwa kujua au la.
 
Back
Top Bottom