Kizazi jeuri

jay john

JF-Expert Member
Sep 23, 2016
429
251
0a85881513b5d3cc31785c6158324e4e.jpg
 
Hahaha
Mi nikiwa mtoto nilikuwa na innocent love lakin kwa watt wenzangu.
Yaan hakuna Assymetrical relations hapo, mwalim kosmas ni mkubwa mnoo.
Haya bwana sisemi mengi. Mimi nilikuwa mwalimu nilipenwa na mtoto wa kiume, I knew it was just an innocent love!
 
Haya bwana sisemi mengi. Mimi nilikuwa mwalimu nilipenwa na mtoto wa kiume, I knew it was just an innocent love!
Hahahahaaaaaa!
Kuna kitu ulikosea mwalim, kuna namna hukuji conduct proper.

Kwa hiyi dogo alichonga letter pia??
Nimekuwa interested na story hyo
 
Hahahahaaaaaa!
Kuna kitu ulikosea mwalim, kuna namna hukuji conduct proper.

Kwa hiyi dogo alichonga letter pia??
Nimekuwa interested na story hyo
Hapana sikukosea kitu kwa kweli. Kama mavazi nilikuwa navaa ya heshima. Ila kitu kimoja labda mimi nilikuwa mwalimu wa Hesabu, naye alikuwa anajua sana hesabu na nilikwa nafurahia kwa kufaulu kwake. ( All in all nilikuwa nawafundisha sana pia wasiojua ) Kwa kweli sielewi alivutiwa na nini wakati nilikuwa mkubwa sana kwake!
 
Hahahaa
Ujue naabza kupata pucha ningeanzia wao kumoebda mwalim wangu wa hesabu nikiwa la nne!!

Ndio maana nikapata was was na kujiweka kwako,
lakin ukute wewe ndio ulikuwa una mmotivate aweze hesabu
 
Probably!
Ila story yako nimeipenda, nilivo kuwa forn 3 kuna mwalim wa hesabu nilikuwa naingia class kumchek tu, then naridhika narud hom kulala. Ila skuwahi jihesab kama nilimpenda. But she was cute.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom