Kizazi jeuri

Kizazi jeuri

Ila story yako nimeipenda, nilivo kuwa forn 3 kuna mwalim wa hesabu nilikuwa naingia class kumchek tu, then naridhika narud hom kulala. Ila skuwahi jihesab kama nilimpenda. But she was cute.
Ha ha Iceman I like that!
 
Wana saikologia hebu tuelezeni hapa maana kuna wanaodhani ma engineer na madaktari hawakuwa na hisia tangu udoo wao!
The problem is how to balance between your priorities and your desires.
 
Wana saikologia hebu tuelezeni hapa maana kuna wanaodhani ma engineer na madaktari hawakuwa na hisia tangu udoo wao!
Hahahaha
Wewe mtoto anaye mpenda mwalim wa hesabu, hamna kitu apo, hata akiwa injinia ataishia kuwa kama hawa tulio nao.
 
Mmh nilipokua form 1 nilitokea kumpenda teacher wangu wa chemistry hadi basi yaani kila sku nikilala namuota nilivyunjika moyo na nguvu za kumwambia kwan mda huo alikua ameolewa tayar nilikua najitahid mtihan wake napata 99 ili tu nipate attention nae sku nilionana nae aisee nimeshamaliza kidato cha sita nilitaman nimueleze nilivyokua nahisi kwake ila roho ikanisuta nikabak tu nalo rohon had leo
 
Hahahaha
Wewe mtoto anaye mpenda mwalim wa hesabu, hamna kitu apo, hata akiwa injinia ataishia kuwa kama hawa tulio nao.
Sidhani kama kupenda ni ubaya labda kendekeza huko kupenda na kujiingiza hovyo kwenye kupenda ndio kubaya Iceman.
 
Hahahaa
Kwa hiyo wewe hata wakat huo uliona dogo ako sawa tu.
Mi naona huyo kijana na hawa kina hadija ni moja ya shda za baadaye hapa nchini.
 
Niliona ni sawa kwani hata mimi na wewe tumewahi kupenda kwenye umri huohuo ni nature mbona tuko mbali tu kimaisha. Shida ni kutumia vibaya huo upendo! ha ha ha! Naona naweza andika kitabu hapa!
 
True toka jana nilikuwa nasema au nikupe deal uandike kitabu.

Inabid tupate muda unipe story mwanzo mwisho.

Mi nilipo kuwa mdogo sikuwa hivo thats weird for a kid.
 
Kuna mwanafunzi aliitwa Rogers, kwakweli nilipenda kumuona tu, na siku nikisikia hakuja shule alikua mgonjwa niliumia, lakini sikujua kuwa yale yalikuwa mapenzi. Pia sikutaka Rogers aone nimefeli.
 
Teh teh
Ilikuwa daras la ngap hilo!!?
 
Kuna mwanafunzi aliitwa Rogers, kwakweli nilipenda kumuona tu, na siku nikisikia hakuja shule alikua mgonjwa niliumia, lakini sikujua kuwa yale yalikuwa mapenzi. Pia sikutaka Rogers aone nimefeli.
Kweli kabisa inatokea. Mi nursery school tulikuwa tunasoma na mtoto wa Mkuu fulani wa Mkoa ( tena maarufu tu) sina hakika km. nilikuwa namu-admire au nampenda. Darasa la kwanza hivyo hivyo. La nne tena mtoto wa mwalimu mkuu, yeye ndio tulikuwa tunapenda kucheza wote wakati wa break . La saba hivyohivyo tena alihamia shuleni kwetu ( shule moja DSM) walikuwa wakimtania mimi nachukia kweli- ha ha ha sijui yuko wapi?. Ila wakati wa utoto ni kupenda tu kama utakavyopatana na mtoto wa jinsia nyingine.
 
Ila mimi kuna dogo flan niliwahi kumiandikia barua, dingi akaikamata
Nakumbuka nililala juu ya mti usiku mzima
Halafu skwenda shule kama sku 2,hivi
Aaah kufika shule story hadi walim wana ijua
 
Jamani! Oh yeah wazazi wanaprotect watoto wao angalau kupata uoga fulani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom