Kizazi cha 1978-1985 hatuzeeki. Je, unajua sababu?

Tuliozaliwa 1978- 1985 tunarange kuanzia miaka 39-46, tumegoma kuzeeka, sijui kama mnafahamu sababu.

Iko hivi, kipindi hicho nchi ilipitia changamoto za kiuchumi, tulikuwa na vita ya iddi Amin hata baada ya vita hali haikuwa shwari, tuliendelea kufunga mikanda, uzalishaji wa chakula haukua vizuri, kama nchi tuliagiza chakula nje ya nchi, mnaukumbuka ugali wa Yanga??

Ni mpaka Mwinyi alipochukua nchi tukaanza kula vizuri, asikwambie mtu afya ya mtoto hutegemea genes za wazazi na chakula, hayo mambo mawili ndio huamua muonekano wa mtu ukubwani.

Tuliozaliwa miaka hiyo kuna virutubishi tulikosa matokeo yake tukatengeneza hybreed ya watu fulani, sio magiant sio wafupi, ni kuanzia futi 5 na inchi 4 mpaka futi 5 na inchi 8 wengi tuko humo.

Kukuta kijana wa 1980 ananyimwa shikamoo anapewa wa 1990 ni kawaida sana.
Orodha ya watu mashuhuri wanaoangukia humo ni kama hii
Dully Sykes, 45
Ridhwan Kikwete, 45
Mwana FA, 45
Queen Daren, 44
Single Mtambalike, 47
Ben Kinyaiya, 46
Maulid Kitenge, 48
Haji Manara, 50
Mange Kimambi, 46
Juma Nature 44
Ray kigosi 47.

Njoo kwa wadogo zetu sasa,binti miaka 25 kama veterani wa vita ya pili ya dunia,kijana miaka 30 ni kama mpigania uhuru,

Hawa ni watu ambao either nimesoma nao au nawafahamu kiundani tangu utotoni miaka ya rary 80's

Uzi huu hauwausu walioharibu afya zao kwa pombe kali na starehe zingine
Queen Darlin amefika lini hiyo 44 wewe? MwanaFA na dully Sykes lini kafika hiyo 45,
 
Akili mnawekaga wapi ? Sema vijana tunaoishi dar tuliojopata kimaisha tuliozaliwa hyo miaka hatuzeeki. Kuna watu wamezaliwa miaka hyohyo lakini wamechakaa wapo hapohapo dar then unalinganisha na Riz1 na wengineo walijipata. USI-GENERALISE BOSS
 
Depression.
Anxiety related disorders ukikaa vibaya unaonekana Babu au Bibi kizee.

Visababishi vya Mambo tajwa hapo juu.
Kukosa ajira ambayo inaleta kipato ambacho kinarahisisha maisha .

Social media ask me how ..

Mapenzi ..

Yatatuuweni ...
 
Akili mnawekaga wapi ? Sema vijana tunaoishi dar tuliojopata kimaisha tuliozaliwa hyo miaka hatuzeeki. Kuna watu wamezaliwa miaka hyohyo lakini wamechakaa wapo hapohapo dar then unalinganisha na Riz1 na wengineo walijipata. USI-GENERALISE BOSS
Nimeandika kuwa uzi huu hauwahusishi walioharibu maisha yaa na afya zao kwa pombe na anasa zingine
 
Tuliozaliwa 1978- 1985 tunarange kuanzia miaka 39-46, tumegoma kuzeeka, sijui kama mnafahamu sababu.

Iko hivi, kipindi hicho nchi ilipitia changamoto za kiuchumi, tulikuwa na vita ya iddi Amin hata baada ya vita hali haikuwa shwari, tuliendelea kufunga mikanda, uzalishaji wa chakula haukua vizuri, kama nchi tuliagiza chakula nje ya nchi, mnaukumbuka ugali wa Yanga??

Ni mpaka Mwinyi alipochukua nchi tukaanza kula vizuri, asikwambie mtu afya ya mtoto hutegemea genes za wazazi na chakula, hayo mambo mawili ndio huamua muonekano wa mtu ukubwani.

Tuliozaliwa miaka hiyo kuna virutubishi tulikosa matokeo yake tukatengeneza hybreed ya watu fulani, sio magiant sio wafupi, ni kuanzia futi 5 na inchi 4 mpaka futi 5 na inchi 8 wengi tuko humo.

Kukuta kijana wa 1980 ananyimwa shikamoo anapewa wa 1990 ni kawaida sana.
Orodha ya watu mashuhuri wanaoangukia humo ni kama hii
Dully Sykes, 45
Ridhwan Kikwete, 45
Mwana FA, 45
Queen Daren, 44
Single Mtambalike, 47
Ben Kinyaiya, 46
Maulid Kitenge, 48
Haji Manara, 50
Mange Kimambi, 46
Juma Nature 44
Ray kigosi 47.

Njoo kwa wadogo zetu sasa,binti miaka 25 kama veterani wa vita ya pili ya dunia,kijana miaka 30 ni kama mpigania uhuru,

Hawa ni watu ambao either nimesoma nao au nawafahamu kiundani tangu utotoni miaka ya rary 80's

Uzi huu hauwausu walioharibu afya zao kwa pombe kali na starehe zingine
Ben kinyaiya tangy nimfaham Enzi hizo miaka YA 2000 mpaka Leo Yuko vile vile hazeeki Yule kaka 🙌🙌🙌🙌🙌
 
Chakula asilia, mazoezi ya kiasi, kuwa free stressed, kupumzisha mwili, kuwa Mcha Mungu huchelewesha sana uzee.

Ubinadamu ni kazi The humanity is a work.View attachment 2984487
Sure kuwa Mcha Mungu huzeekiiii hata ukizeeka unazeeka Lakin bado unaonekana kijana nawajua watumishi wengi ambao ni age imeenda 60,70,80 lakini ukiwaona Wana vibaby face wanaglow
 
Back
Top Bottom