Mradi wa mchuchuma umejaa siasa nyingi sana. haujaanza leo. Alnoor Kassum alipoteza kazi yake kama waziri wa madini na nishati in the 1980s kutokana na mradi huu huu. According to reliable sources za wizara ya nishati, treasury na NDC, tatizo kubwa na kikwazo kikubwa katika hu mradi ni kwamba World Bank hauutaki. Just as they rejected mradi wa TAZARA[world bank waliogopa kiwanda cha firestone kitakufa kutokana na matairi ya malori kukosa mkt...Tazara inge replace usafirishaji wa mizigo malawi, zambia...na pia hawakupenda idea ya reli ya 'uhuru'], world bank huu pia hawautaki kwa sababu kubwa tatu. Moja, walichelewa kuupata as a pjct to finance, private financiers walishauwahi; pili, world bank wanaogopa kuji contradict na msimamo wao wa environmental issues whereby coal energy pollutes heavily. Tatu, World Bank wame finance mradi wa songosongo so lazima ulipe kwanza before umeme wa makaa ya mchuchuma kuanzishwa. Umeme huu wa mchuchuma ni a threat to songosongo sababu ni a cheaper alternative. Kinachoendelea sasahivi ni kujaribu kupata private financiers ambao world bank hawatawatetemesha. As of today, Greenaker LTA na Siemens ndio wameushika na inasemekana wanautumia kama collateral to finance their many other projects huku watanzania wakipaa taabu.
Umeme wa kiwira ni good news lakini TANPOWER RESOURCES ya kina mkapa na yona will not survive for long, esp after 2015. Huu mradi ni mzuri lakini owners ni illegal by all means. haukupitia tendering process bali ulikwapuliwa na mbaya zaidi kina yona na mkapa hawajalipia hata shillingi moja kuupata. walipewa bure. This will be a political test in the near future for kikwete au new president 2015. Mbaya zaidi, wanyakyusa bado hawajaelewa nini kinaendelea kwenye ardhi yao. time will tell.