kiwi

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
DSC01870 (Large).JPG
shoe shine..... niliipiga hii picha nilivokuwa Lushoto
 
anadhibiti matumizi na mapato pamoja na inflation, huyu ni mkongwe mgosimbweee shemahonge!!
 
inawezekana kuna mahali huwa wanajaza kiwi, wakati wetu makopo ya 'YU' tulikuwa tukitumia kama 'compass' kwa pencil lazima ivunjwe mara tatu ili itoshe.
 
Enzi za Mwl; kila shoe polish ni Kiwi, kila toothpaste ni Colgate, kila chewing gum ni Big G, kila pen ni Bic, kila ...
 
Enzi za Mwl; kila shoe polish ni Kiwi, kila toothpaste ni Colgate, kila chewing gum ni Big G, kila pen ni Bic, kila ...

Kila chupi ni zaibon! Hivi zilikuwa zinatengenezwa wapi? Na kila duka ni la kijiji! Upo hapo?
 
Back
Top Bottom