Kiwanja Kipya Cha Burudani-Mbagala.

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Watoto wadogo wa Mbagala sasa hatimaye wamepata sehemu ya Burudani ambayo wamekua wakiikosa kwa muda mrefu sasa. Kama wanavyoonekana katika picha wakiwa katika Bwawa kubwa la kuogerea" Swimming pool'. Na wakubwa nao hawajaachwa nyuma kama wanavyoonekana katika picha.
 

Attachments

  • IMG_0006.JPG
    IMG_0006.JPG
    288.2 KB · Views: 302
  • IMG_0007.JPG
    IMG_0007.JPG
    280.5 KB · Views: 237
  • IMG_0008.JPG
    IMG_0008.JPG
    418.2 KB · Views: 197
  • IMG_0009.JPG
    IMG_0009.JPG
    213.7 KB · Views: 180
  • IMG_0010.JPG
    IMG_0010.JPG
    266 KB · Views: 156
  • IMG_0017.JPG
    IMG_0017.JPG
    240.3 KB · Views: 154
  • IMG_0018.JPG
    IMG_0018.JPG
    198.3 KB · Views: 139
  • IMG_0022.JPG
    IMG_0022.JPG
    139.5 KB · Views: 199
Sijui lakini
Ila kuwaweka watoto karibu na watu wazima waoakunywa bia sio njema sana
Michezo yao ingekuwa mbali sana na watu wazima sehem wanakopata kinywaji
Ni mtazamo tuu
 
kwenye swimming pool wasijeambukizana magonjwa!

Hilo ni muhimu sana mkuu, kunapaswa kuwa na udhibiti wa usafi+usalama wa hayo maji, pia watoto wenyewe wawe na bafu hapo karibu kabla hawaruhusiwa kuingia kuogelea, vingenevyo madhara yake yataonekana baada ya muda si mrefu i.e. magonjwa ya ngozi, tumbo nk!
 
Panaitwa Dar Live. Kuna tetesi kuwa mmilki ni jamaa mmoja mmilki wa magazeti pendwa.
 
Sijui lakini
Ila kuwaweka watoto karibu na watu wazima waoakunywa bia sio njema sana
Michezo yao ingekuwa mbali sana na watu wazima sehem wanakopata kinywaji
Ni mtazamo tuu

Mkuu hiki kitu sijui kwa nini mmiliki hakukifikria.
 
huyu shegongo si mlokolle sasa ulokole na serengeti wapi na wapi?

Ulokole wake siku hizi upo too modified. Alikuwa mlokole alipokuwa anamiliki UWAZI peke yake, zaidi ya hapo pesa anayotengeneza inatokana na picha chafu za 'mastaa' na habari za 'tetesi' za 'mastaa hao' na huo si ulokole.
 
huyu shegongo si mlokolle sasa ulokole na serengeti wapi na wapi?

LOL! Jambo zuri ni kwamba kila mwenye "kuona kidogo" anaweza kutofautisha cheusi na cheupe, so jibu unalo.
Imani haijengwi kwa maneno bali matendo. IMANI PASIPO MATENDO IMEKUFA.
Actions speak louder than words.
 
Sipati picha siku za sikukuu kama Xmas,Eid nk patakuaje... wataweza kudhibiti idadi ya watoto watakaoingia au watakua 'kimauzo zaidi'...ni angalizo tu
 
Back
Top Bottom