Kiwanja gani kizuri Arusha kwa kula bata?

Kiwanja gani kizuri Arusha kwa kula bata?

Habari ya usiku wapendwa,

Watu wa Arusha naomba maelekezo nisaidieni nakuja kwenu, sijui viwanja vikali vya kula raha.

Naskia kuna baridi sanaaa nisaidieni hotel nzuri ni ipi, sehemu yenye kuku choma/nyama choma nzuriii

[emoji7]
Ukila bata utaharisha bure sema nyama ya bata
 
Princess usidatishwe na Asigwa. Ofa zake za jero jero utadhani ofa za mitandao ya simu. Zaidi zaidi atakununulia soda ya Fanta na bado atataka akugonge.
 
kama kuna kula tambua kuna kuliwa beware!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom