Kiwanja gani kizuri Arusha kwa kula bata?

Princess21

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
272
266
Habari ya usiku wapendwa,

Watu wa Arusha naomba maelekezo nisaidieni nakuja kwenu, sijui viwanja vikali vya kula raha.

Naskia kuna baridi sanaaa nisaidieni hotel nzuri ni ipi, sehemu yenye kuku choma/nyama choma nzuriii

 
Habari ya usiku wapendwa, watu wa Arusha naomba maelekezo nisaidieni nakuja kwenu, sijui viwanja vikali vya kula raha. Naskia kuna baridi sanaaa nisaidieni hotel nzuri ni ipi, sehemu yenye kuku choma/nyama choma nzuriii

Wala usihangaike kabisa kula hela yako.

Ukifika Arusha nitafute, uleko hela yangu kidogo.....

Au hupendi kula hela ya tanzanite??
 
Karibu ila ukija utakayo yaona tuachie huku huku, maana hamkawii kuanzisha mada za kuponda mji wetu, baridi ipo kali sana nyakati za asubuhi kipindi hiki, viwanja vingi sana pesa yako tu.
 
...unataka kuja kutuunguza na huku?...hiyo hotel umezuga,wewe popo muuza K!
.....huku hatuli viboga,nenda Mombasa!
 
Duh' nimechelewa kuiona hii sredi! Kabla hujaquite niPM nikupeleke kiwanja halafu ulinganishe na huko ulikopita, i think next time ukija utanitafuta moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom