Kiwanja gani kizuri Arusha kwa kula bata?

Kiwanja gani kizuri Arusha kwa kula bata?

Hukui tu ndugu??nilijua utasema msikiti au kanisa gani lipo karibu hapo arusha we unawaza vitu vyakupita???shauriyako shetani yupo kazini tena anakesha akivuna kuwa makini.
 
Wazee wa Arusha wekeni hivyo viwanja vya kula batazzz tuvione
 
ivi kula bata ndio nini ? sijawahi kuona kitu mupya watu wanasema kula bata kula bata
 
Karibu sana arusha kwa kuku choma nenda sakina lounge, milestone, first left na bonden bar kijenge.
 
Hukutaja uwezo wako wa hotel, kwa wewe nadhani Kaloleni kunakufaa!
 
Karibu Capital 14 au Forty forty viwanja tulivu kabisa..

Au kama unajiweza karibu Ambrosia Lounge opposite na Impala..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom