Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 5,610
- 8,258
Gawa iyo ela katikati nunua kiwanja nusu ingine endelea kudunduliza hadi ifikie lengo lako kununua kiwanja kwa ajili ya kujenga ni kuzika pesa kwahiyo inatakiwa uzike pesa iliyokufa kwa maana ambayo haina kazi au ambayo hata isipokuwepo huwezi ijutiaKujenga
Lakini pia ukinunua kiwanja huwezi jenga Leo wala kesho ukamaliza otherwise ujenge kijumba tu cha kujistiri chumba kimoja na sebule iyo ela unaweza tosha tofauti na hapo lazima ufanye biashara na kazi nyingine ili upate ela ya kujengea
