Kiwanja au Biashara

Kiwanja au Biashara

Habarini wana JF poleni na majukumu ya kila siku. Moja kwa moja ningependa kwenda kwenye maada kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Mimi ni kijana mwenye familia ya mke na mtoto mmoja nayeendelea kupambana kila kukicha katika kibarua changu chenye malipo ya kawaida.

Nimekuwa napata shida kuamua katika jambo ambalo litafaa zaidi kwangu kuanza nalo kuendelea na hatua za mbele, kwa muda nimekuwa nikijikusanya kutafuta kiasi cha pesa ambacho nitakitumia kuanzisha biashara niliyoipanga kuanza nayo kama nitafanikiwa kufikia mtaji wa kuanza nao niliouona utatosha, wazo limekuwa siyo rahisi sana sababu kama mjuavyo maisha yetu ya kitanzania huwa hayajanyooka kwa kiasi hicho japo siyo kwa wote, unaenda hatua sita mbele changamoto inatokea unarudi tena hatua mbili nyuma.

Kiasi cha mtaji nlioupanga nishafikisha nusu mpaka sasa na nusu nyingine inaweza chukua si chini ya miezi mitano mbele.

Kuna muda nakuwa naona kama muda wa kufikia kiasi cha pesa lengwa unaweza ukaongezeka tofauti na malengo au nikapata changamoto mbele nikarudi nyuma zaidi ndiyo napata wazo labda ninunue kwanza kiwanja halafu malengo yangu nianze upya.

Hela iliyopo inaweza tosha kiwanja.
Ningependa kupokea ushauri kwa mtu aliyewahi pitia hii hali au kwa yeyote mwenye mawazo ya kujenga anisaidie kunipa uelekeo utakaofaa. Ahsanteni na karibuni
Ungesema hiyo pesa uliokusanya ni shingapi na unataka kufanya biashara gani ili tukushauri vizuri
 
Ndo uache kupenda vya bure Sasa, eti ugawiwe nusu nyoooooo, ukipenda vya bure utaliwa kinyeo bila wese jifunze kupambana mtoto wa kike.
Usilete makasiriko Yako mwenye mpunga hajasema we uumie afu kwanza nani upo serious apa 🚮🚮
 
Vzr haya kaliwe Sasa upewe hela, ila angalia usije ukatunyea nyea ovyo hadharani na kuleta harufu mbaya ya mavi na kuvaa pampasi Kama mtoto mchanga sababu ya tamaa za hela
Asa si navaa mm pampasi eh 🙌🏾😹😹😹😹
 
Kama lengo ni kutunza hiyo pesa, jaribu kuiweka UTT au bank kwenye fixed account deposit.
Hii itasaidia hela kuongezeka kidogo na kufikia lengo lako la kuja kuanzisha biashara
Nlijaribu kufungua fixed NMB wakaniambia sitoweza kufanya top up,nikaona haitakuwa na maana sababu kiasi tarajiwa sijakifikia
 
Kama biashara unayotaka kuifanya bajeti yake ni zaid ya 10 M na bado unamiezi mingi mbele kufanikisha, bora utafte tu kiwanja ndugu coz hela haitunziki kama bado haujaifanyia maamuzi.
 
Inafika 5M mkuu,malengo yangu ifike kwenye 10M+ ili kukidhi mahitaji ya ofisi. Kodi ya pango na mengine mengine kama ujuavyo
Duh mbona 5m ni pesa nzur sana kuanza na biashara sjajua unataka ufanye business gan but ni vizur kuanza kidogo na usiweke mtaji wote, pili umesema kiwanja ni cha kujenga so ni bora uanze business unless kama utakuwa na pesa za kujenga kidogo kidogo.
 
Back
Top Bottom