Nilishutushwa niliposikia hospital kubwa ya cancer Marekani MD Anderson ambayo ipo Houston Texas inafanya uchunguzi ni kwanini kuna mpasuko mkubwa wa cancer hasa za Tumbo kanda ya ziwa hasa mkoa wa Mara na majirani.
Cha kushangaza ni miaka zaidi ya mitano na sijaona jitihada zozote za serikali kwenye swala hili. Hata ripoti badala ya kuwekwa wazi zimekuwa siri. Kinachotokea ni watu kuendelea kufa kwa wingi. Hata kama hauko asilimia 100% serikali itoe matokeo wazi ya chunguzi tofauti za hili .
Je tatizo ni maji na mazingira ya madini?
Je tatizo ni samaki na ziwa viktoria?
Je tatizo ni hali ya hewa?
Naomba hili lifuatiliwe. Tatizo la waandishi wetu hawafanyi utafiti badala yake wanasubiri ushabiki pekee. Jamani hili swala ni serious sana sana
Zitto
Zitto fuatilia maana Kigoma ni mazingira hayo hayo. Fanya chunguzi hili ni swala legit sana
Hii ni ya 2020
The Lake Victoria zone presented a unique pattern of cancer, with cancer of the liver accounting for the largest proportion (13.7%) of deaths and lymphoma being among the top 5 cancers. Most of the deaths due to Kaposi sarcomas were reported in the southern highlands (14.8%) and southwest (12.8%) zones (Fig
2021
FOR some years now there have been some claims or rather some arguments that associate high cancer prevalence rate in Lake Zone with some chemical substances emanating from mining activities.
In fact, some health service providers have gone an extra mile by giving rough figures on the prevalence of the problem, saying a staggering 40 per cent of cancer patients in Tanzania come from the Lake Victoria Zone regions.
But, latest information from Bugando Medical Centre shows about 60 per cent of cancer patients who are transferred to Ocean Road Cancer Institute in Dar es Salaam are from Lake Zone.