Kiwango kikubwa cha Kansa kanda ya Ziwa kiangaliwe

Turudie labda kusema kwamba hii story ya mlipuko wa cancer kanda ya ziwa ni njia iliyozoeleka ya ubeberu kuendelea kuitawala dunia kwa kwa kujifanya wao wana data zote duniani, wana maarifa yote duniani, na wana umuhimu wa kipekee kwa kutoa taarifa ambazo zina maslahi kwa watu wa kawaida wa nchi husika.

Ndio maana watoto wetu na vizazi vyetu vijavyo tunavifundisha critical thinking. Critical thinking ni uwezo wa kutathmini habari au taarifa, ya kusimuliwa au kuandikwa. Ukiwa na huo uwezo wa critical thinking unaweza kutanabaisha nini ukweli, nini uongo, nini kinaendelea nyuma ya pazia.

Suala la ongezeko la cancer duniani ni suala ambalo hauwezi hata siku moja kulitengea story ya kijiogrofia eti great lakes. Cancer ni ugonjwa ulioongezeka sana duniani kutokana na mambo mengi mtambuka: huko kwa wazungu kuna cancer nyingi sana kuliko hata Afrika. Kitendo cha kusingle out great lakes za east africa kina agenda nyuma yake, na kama ukienda Bugando utakuta wagonjwa wengi wa cancer wanatoka ukanda wa ziwa sababu Bugando ipo Mwanza. Ni sawa na kusema Dar wanapata sana ajali za pikipiki kwa sababu Muhimbili ina idadi kubwa ya majeruhi wa idadi ya pikipiki. Again, watanzania tujifunze kuchukua habari za wazungu wanazoteport kuhusu sisi kwa jicho la tatu
Sawa mjuaji

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
So then US wakikupatia USD 600 M kwa ajili ya kusupport afya una uhakika gani kwamba hiyo ni aslimia ndogo sana ya wanachobeba kwa mkono wa pili kupitia mikataba kibao inayofavour makampuni ya kimarekani?

Na ni lini nyie watu mtaacha kutumia misaada ya fedha za marekani kama fimbo "smoke-screen" ya kupenyeza pro-American agenda? Embu mtwache kwanza, na huo ukoloni mamboleo wa kuiona Marekani kama lidude flani lenye sifa za kiungu ndicho wenzenu wanachokitaka wakati mna uwezo nyie wenyewe wa kujipangia vipaumbele vyenu.

Na tunaporudi kwenye cancer hii iliyoreportiwa na "wamarekani" mimi sijasema kwamba hatuna sababu ya kuchunguza au kujitafutia uwezo wa kukabiliana na magonjwa ya cancer hapa Tanzania. Sema nipo kinyume na hizi overhypes kwa mmarekani. Sasa kumbe kama hata Magufuli na wizara ya afya washawahi kulipazia sauti then hakukuwa na hata sababu ya kuwaingiza wamarekani kwenye hii stori.
Hao Wamarekani walikukosea Nini mkuu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Na hapo juu nimesahau kukwambia jinsi ambavyo pesa yoyote anayoitoa mmarekani ni kwa ajili ya interest za Marekani kwanza kabla ya interest zako. Na kwa bahati nzuri sana kwao tayari wameshatangulia sana kiasi kwamba akikupa wewe 600M kwenye afya ambayo hiyo hela utaitumia kununua dawa mbalimbali wanazoziuza wao, yeah kwa upande wenu wapewa msaada mtajiona mmefaidika (mmepata dawa) but obviously pharma industry za marekani zilizotapakaa dunia nzima keep on running. Na labda niliweke hili vizuri: mi sipo kinyume na Marekani na interest zake, after all ni wajibu wa kila nchi kushinda mechi zake. Kitu ambacho niko kinyume nacho kabisa ni hizi western propaganda machine zinazotaka jambo fulani nyuma ya pazia kwa njia ya hila na udanganyifu. Watajifanya kuhubiri uhuru na demokrasia kumbe wanachokitaka ni nchi za dunia hii kuwa na mazingira wezeshi kwa ajili ya biashara zao, watajifanya kuhubiri soko huria kwa sababu viwanda vyao tayari vina uwezo wa kuzalisha bidhaa mbalimbali kwa unafuu zaidi hivyo zinaweza kushindana sokoni kuliko zenu nyie mnaoanza. Kila wanachofanya kina agenda nyuma yake.

Wangekuwa direct kama mchina anavyokuja, tupe hiki tuwape hiki nisingekuwa na shida nao kabisa.
Hahahaha hivi unawajua wachina vizuri? Wanachokitaka ni Mali tu usifikiri wana utu au huruma na wewe au na nchi yako. Hata wewe hapo nakuhakukishia unaangalia fursa na faida utakayopata tusidanganyane huwezi kufanya biashara isiyo na faida au maslahi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
So? Mtu kama wewe unayefaidika moja kwa moja kwa maslahi ya marekani utasema chochote tofauti na script ya unayemtumikia? MSD inanunua dawa generic lakini pia inanunua prescription drugs. Na wala sisemi kwamba $600m lazima zote zirudi kwa aliyezitoa. Ninachosema ni kwamba hawatoi hizo 600m kama free lunch, watakupa 600m lakini wana lengo na namna ya kupata faida zaidi ya hizo walizozitoa. Na wamejenga mifumo sophisticated soft and hard kuhakikisha kwamba maslahi yao yanalindwa.
Kwani wewe unaweza kufanya biashara isiyokua na faida au maslahi kwako? Kanunue unga sh 2000 kilo uje utuuzie sh 1800 Kwa kilo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nategemea uzinduzi wa siasa za majukwaani kanda ya Serengeti hapo musoma wale kina heche and company ndiyo uwanja wenu huo kusemea hili.

Yaani muda huu kabla mfanye utafiti kwa kusima na kufuatilia abcd... za taarifa za ndani kuhusu hili tatizo then muwaeleze wananchi, ili wajue why serikali yao imeamua kuwapa kisogo.

🔸Kutoooooka mkoani maaaraaa mimi niiiiii joojiiii maraaaato wa aitiviiiii.
 
Kwani wewe unaweza kufanya biashara isiyokua na faida au maslahi kwako? Kanunue unga sh 2000 kilo uje utuuzie sh 1800 Kwa kilo

Sent from my TECNO F1 using
Sijawakataza mfanye biashara. Ila msituzuge na vistori vyenu. Nenda straight kwenye point kama wachina, we need uranium tutawajengea barabara na nyie tupeni Selous Reserve tuchimbe Uranium. Wamarekani watakuja na viNGOs eti vya kulinda tembo wasiwindwe na majangiri kumbe ajenda yao ni aidha kumzuia China au kufanya mambo yao wanayoyajua wenyewe. Tukistuka mnang'aka.
 
Nilishutushwa niliposikia hospital kubwa ya cancer Marekani MD Anderson ambayo ipo Houston Texas inafanya uchunguzi ni kwanini kuna mpasuko mkubwa wa cancer hasa za Tumbo kanda ya ziwa hasa mkoa wa Mara na majirani.

Cha kushangaza ni miaka zaidi ya mitano na sijaona jitihada zozote za serikali kwenye swala hili. Hata ripoti badala ya kuwekwa wazi zimekuwa siri. Kinachotokea ni watu kuendelea kufa kwa wingi. Hata kama hauko asilimia 100% serikali itoe matokeo wazi ya chunguzi tofauti za hili .

Je tatizo ni maji na mazingira ya madini?
Je tatizo ni samaki na ziwa viktoria?
Je tatizo ni hali ya hewa?

Naomba hili lifuatiliwe. Tatizo la waandishi wetu hawafanyi utafiti badala yake wanasubiri ushabiki pekee. Jamani hili swala ni serious sana sana

Zitto

Zitto fuatilia maana Kigoma ni mazingira hayo hayo. Fanya chunguzi hili ni swala legit sana

Hii ni ya 2020

The Lake Victoria zone presented a unique pattern of cancer, with cancer of the liver accounting for the largest proportion (13.7%) of deaths and lymphoma being among the top 5 cancers. Most of the deaths due to Kaposi sarcomas were reported in the southern highlands (14.8%) and southwest (12.8%) zones (Fig

2021
FOR some years now there have been some claims or rather some arguments that associate high cancer prevalence rate in Lake Zone with some chemical substances emanating from mining activities.

In fact, some health service providers have gone an extra mile by giving rough figures on the prevalence of the problem, saying a staggering 40 per cent of cancer patients in Tanzania come from the Lake Victoria Zone regions.

But, latest information from Bugando Medical Centre shows about 60 per cent of cancer patients who are transferred to Ocean Road Cancer Institute in Dar es Salaam are from Lake Zone.
kuna haja ya kufuatilia
 
Nashukuru wanaanza kuangalia

kuna haja ya kufuatilia

Ndiyo wameanza kushutuka!!

Nime fanya utafiti wa kutosha serikali haswa OSHA wafike kwenye migodi ya wachimbaji wadogo watoto wetu wanaangamia kwakushika zebaki with bare hands wakati wa kuchenjua dhahabu iko migodi ya wachimbaji wadogo zaidi ya mia tano kanda ya ziwa wote hawatumii gloves no safety measure hakuna elima inayotolewa kwa madhara ya zebaki na sodium cyanide , wabunge wanachi wanaangamia pazeni sauti bungeni serikali ichukue hatua za haraka ......

Back
Top Bottom