Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze.
NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
Duh kumbe Elimu yake ndogo sana, angejiendeleza Sasa hivi anagalau angekuwa na B.A yake safi kabisa anyway kama anapata hela Kwa elimu yake Ile ile ya certificate safi tu,
Wanaume wanawajadili wanaume wenzao ambao maisha kidogo yamenyooka, vijana tafuteni pesa sio kila mnaemuona akipanda ndege kama daladala ni shoga.. wenzenu wanapambana ooh nyie endeleeni kushinda JF na kupanda mwendokasi... kua na degree au diploma ni makaratasi tu wakati uko choka mbaya.. life is not fair
Yule janja janja tuu na ka elimu kidogo ka uandishi habari basi sema utangazaji wa mpira na uchambuzi ndio unambeba
Jana nimemsikia kwenye kipindi anaboronga kutamka hata civics hawezi