Vingi ni wachina wezi na waonezi kabisaUmeapply kama nani usiweke high expectations ya kutoboa kwa mda mfupi viwanda vingi vipo chini ya wahindi kwaiyo jiandae kuishi nao
Vingi ni wachinaUmeapply kama nani usiweke high expectations ya kutoboa kwa mda mfupi viwanda vingi vipo chini ya wahindi kwaiyo jiandae kuishi nao
Ndio hao hao wazee wa buziSI ndo wale jamaa wa kuchinja kuku na mbizi?
Wajinga sana ndo wanawalipa watu per day 12000Vingi ni wachina wezi na waonezi kabisa
Una-akili sanaKama huna shughuli ya kukuingizia kipato nenda. Kama una shughuli ya kukuingizia kipato, focus kwenye shughuli yako.
Hapo kazi ni kuchuna ngozi,na kukata kata nyama.labda uwe na elfu.Nimeambiwa ni ng'ombe, mbuzi na kondoo
Machine haziwezi kukosa.ila na watu hamkosekaniAanh, nkajua labda ni semi-automated mzee, Kuna mashine zinasaidia kazi?
Ni kibaha ila sijajua kama ni maili moja au laNisaidie logistics za kufika hapo mkuu, kutokea Mbezi (Public transport)